The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Upo sahihi MkuuIt's not true that vaccines haziwezi kupatikana ili kuidhibiti korona kabisa; variants wanaendelea kuibuka kwa sababu idadi ya death toll haijatimia kama walivyopanga mabourgeoisies kwenye huu mradi wao wa kupiga hela na kuharibu uumbaji wa Mola.
Na wala siyo kweli kwamba korona ndio ugonjwa wa kwanza kutengenezwa na hao maduntitu ya kuzimu. Remember Ebola, Zika, UKIMWI, etc. Those guys are after one thing: TOTAL CONTROL of humanity. They seek to tell you what to do, what to eat, where to go, walk and sleep, and even who to worship.Upo sahihi Mkuu
Halafu wanaoitwa wataalamu wa serikali, wanafanya hila kulazimisha watu wachanjwe kwa kuwa ni wajinga. Nilitegemea mtu mwenye uchungu na miasha ya watu, alitakiwa akazanie sana tiba na kinga salama. Hizi propaganda kwenye uhai wa binadamu japokuwa ni majuha, zitazaa majuto muda si mrefu. Siyo kila kitu ni usahbiki wa misimamo ya kisiasa.It's not true that vaccines haziwezi kupatikana ili kuidhibiti korona kabisa; variants wanaendelea kuibuka kwa sababu idadi ya death toll haijatimia kama walivyopanga mabourgeoisies kwenye huu mradi wao wa kupiga hela na kuharibu uumbaji wa Mola.
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]Halafu wanaoitwa wataalamu wa serikali, wanafanya hila kulazimisha watu wachanjwe kwa kuwa ni wajinga. Nilitegemea mtu mwenye uchungu na miasha ya watu, alitakiwa akazanie sana tiba na kinga salama.
Upo sahihi ila inategemea umri wako. Mimi nachanja ila watoto na wajukuu wangu nawashauri kuvuta subraHalafu wanaoitwa wataalamu wa serikali, wanafanya hila kulazimisha watu wachanjwe kwa kuwa ni wajinga. Nilitegemea mtu mwenye uchungu na miasha ya watu, alitakiwa akazanie sana tiba na kinga salama.
So Biblia yako haikuletwa na hao Maduntitu?Na wala siyo kweli kwamba korona ndio ugonjwa wa kwanza kutengenezwa na hao maduntitu ya kuzimu. Remember Ebola, Zika, UKIMWI, etc. Those guys are after one thing: TOTAL CONTROL of humanity. They seek to tell you what to do, what to eat, where to go, walk and sleep, and even who to worship.
NB: I tend to believe that those of us who appreciate the Bible are very lucky, because these things have been well documented therein since time immemorial.
Shetani yupi Mkuu. Vewe tulia Kama hutaki kuchanja wenzio tunachanja!Halafu wanaoitwa wataalamu wa serikali, wanafanya hila kulazimisha watu wachanjwe kwa kuwa ni wajinga. Nilitegemea mtu mwenye uchungu na miasha ya watu, alitakiwa akazanie sana tiba na kinga salama.
Watz wanashangaza sanaHivi kwanini tuna hofu sana na hizi chanjo kisa zimetengenezwa na wazungu? Kwanini hatuogopi wala kujiuliza juu ya dini hizi zilizoletwa na haohao wazungu? Hawa jamaa walshatu-brainwash kitambo sana sema tu waafrika hatupendi kuutafuta ukweli. Hivi hizi dini mnazoringa nazo na kusema ninyi ni wana wa mungu hamuoni kama ni hatari kuliko hata chanjo? This is BULLSHIT!!
Wameleta na kutafsiri wao huyo anawaona watu wa muhimu kwenye vitabu vya dini.So Biblia yako haikuletwa na hao Maduntitu??