#COVID19 Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

Vipi hiyo Bible unayoiamini, ililetwa na nani?
 
washenzi wanaendelea kuivuruga dunia na kuichanganya ili waipange upya
 
Ni sababu tu ata huo ugonjwa wenyewe umetengenezwa na wazungu.
 
So Biblia yako haikuletwa na hao Maduntitu??
Naomba nikujibu katika hili mkuu, Njia za mungu kutimiza mipango yake ni nyingi, pengine ilikua lazima tutawaliwe na hawa mabwana wakubwa ili watuletee hizo bible, wasingefanya ivyo tusingeifaham bible, Wao wameshika uchumi wacha sisi tushike dini, kila mtu ashike anachoona kitamsaidia hapa na huko tuendako.
Amen
 
Dunia yasasa inataka strong people na intelligent alasivyo sisi akina tia mchuzi tutaendeshwa Kama gari bovu!
Upo wapi maana unahitaji ulinzi maana suo kwa madini haya
 
Hili sio Kweli.
Kuenea kwa dini ya Mungu ilianza kuenea kabla ya ukoloni, labda kilichokuwa shida ni usafiri ili ienee haraka.
Afrika ya kaskazini na mashariki ya mbali yalielewa dini ya Mungu mmoja miaka zaidi ya 1500K.K
 
So kwa uelewa wako mkuu, na kwa ajili ya wengine, hichi tulichokikumbatia na kukiita Imani au Dini kinatusaidia au tupo kwenye mtego, sababu haya yote yanayoendelea ni kama maneno ya manabii yanatimizwa tu.
 
Kwanza ili ijibu swali hili ni lazima ujiulize wewe kama
Unaamini Mungu yupo au la?
Kwamba ni Mungu wa wazungu tu au waafrika au kila jamii na Mungu wao?

Kwamba huyo Mungu ana uwezo?
Baada ya hayo utakuja kwa kile kinaendelea duniani.
Na pia utajiuliza je kuna sehemu Mungu anatumiwa isivyo sahihi, ili kufanikisha malengo ya kibinadamu.
 
Kubali kufa au kuishi vyote vipo,uchanjwe au usichanjwe unaweza ukafa au ukaishi
Walioandaa Covid na Chanjo zake wana nguvu kuliko serikali yoyote duniani. Washindani wao walikuwa Trump na Magufuli tu. Trump alijaribu kuhoji chimbuko la covid na usahihi wa mbinu zinazotangazwa na WHO wakamuondoa kwa kura za maruhani za njia ya posta na email. Sasa China inafikiria kuwazuilia masomo watoto ambao wazazi wao hawataki chanjo. Sie akina yakhe tutawezaje kukwamisha mipango yao?
 
So kwa uelewa wako mkuu, na kwa ajili ya wengine, hichi tulichokikumbatia na kukiita Imani au Dini kinatusaidia au tupo kwenye mtego, sababu haya yote yanayoendelea ni kama maneno ya manabii yanatimizwa tu.
Yani Maandiko waliandika wai na wao wenyewe ndio wanayatimiza.[emoji28]
 
'''WALAANIWE WOTE WALIOBUNI AINA HII YA BIASHARA ILI WATENGENEZE CHANJO WAUZE NA KUZIKOPESHA NCHI MASIKINI ILI WAENDELEE KUZIDUMAZA KWA KUZIDAI MADENI YATAKAYODUMU MILELE""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…