#COVID19 Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

WALAANIWE WABUNIFU WA BIASHARA HII YA KUUZA CHANJO KWA LAZIMA AU HATA KWA KUKUKOPESHA LENGO NI KUYAPA MATAIFA ULIMWENGUNI MZIGO WA MADENI HASA MASIKINI ILI KUDUMISHA KUYAKALIA UTOSINI VIZURI WESTERNER WAMESHAONA BILA KUYAKALIA UTOSINI WATAGEUKA NYANYA MDA SIO MREFU
 
Hatuna uhakika tunavyoviabudu ni kweli au laah, hatuna uhakika kama mungu tunaeaminishwa yupo au hayupo, nimekuja kugundua tunaishi ili tufe, haijalishi wanachokiwaza wazungu kuhusu sisi kama ni kweli wanafanya mabaya juu yetu au hawafanyi, mwisho wa siku wote watakufa TU.
 
Guys, huu ulimwengu kwa haraka haraka tu upo driven na Nguvu ambayo wengi hatuijui Wala dhamira yao hatiwez ijua.. lkn tambueni kwamba dini hizi na mambo yooote n illusion sometimes,... Hao waliosemaa kwenye Bible oa mke mmoja kwa sisi wakristo hao hao wakaja halalisha ushoga.... Do you see... Alafu covid Kama hivi wanakuwa wanaongea tofauti kbs kweny media zote kupotosha ulimwengu ilihali Siri wanaijua wao...


Cha mwisho kbs ulimwengu huu lazima uingie kwenye mpito mmoja wa hatari Sana watabaki most intelligent people tu... Dini, sarafu watawala atabakia mmoja rule system itakuwa moja.... So ni hatari Sana..
 

Achana na porojo za mwendazake:



Pana salama hapo?
 
Ishi utakavyoona wewe yakufaa, unapohisi upo na Amani na furaha ingia hapo hapo nothing else .... Wazungu Hawa Basi kuelezea ni vigumu mnoo... Na bado tunamtumia technology yao, vtu vyote vyaoo... Kila sekta wao Sasa unazan kunakupona hapo.
 
Ahahaha! Ani ukitafakari San unaweza SEMA ukaishi porini na nyani huko aaahah
 
Mungu yupo, ila dini zimeletwa na watu na kuchakachua Ukuu wa Mungu Ili usionekane ila watu waamini hadithi na wajiwekee ukomo wa kumtafuta Mungu na kuwa karibu naye.
 
Mungu yupo, ila dini zimeletwa na watu na kuchakachua Ukuu wa Mungu Ili usionekane ila watu waamini hadithi na wajiwekee ukomo wa kumtafuta Mungu na kuwa karibu naye.
Ukishjua Mungu yupo mengine utaenda kirahisi, maana Mungu hayuko kwenye control za wanadamu, wala hazuiliwi kueleweka kwa wengine
 
Nyie ndio mpatapo shida hushinda kulialia na Kumlilia Mungu ambaye hata humjui na huwa haumtambui Ila ukipata vishida vyako vya magojwa kufiwa mpendwa wako ndio unaanza kumlilia Mungu sijui unamlilia Mungu yupi?
 
Mungu yupo, ila dini zimeletwa na watu na kuchakachua Ukuu wa Mungu Ili usionekane ila watu waamini hadithi na wajiwekee ukomo wa kumtafuta Mungu na kuwa karibu naye.
So utaka kusema kuwa Mungu wapo wengi asa by the way et,, maan sisi tunayemjua yupo ndo huyo ambaye ni missionaries walileta ... Simple question, imagine wewe hapo ungezaliwa tu na mama yako akuoeleke ukaishi India au China... The arudi akuache ulelewe na watu wanaoabudu Mungu akiitwa BUDHA au miungu mingne huko ambayo huw tunaisiki kwa wenzetu wahindi na wachina kuamini kwayo... Then ukiw mtu mzima ivoo uje huk tz ungekubaliana na Imani ya kikiristo????!! Ahahahah ko unakuja gundua kwamba mambo mengne n NATURE NDIO INAYAENDESHA Wakuu Cjui tunaelewana hapo.....
 
Evi neno Mungu limekaaje ... Coz kila mtu anasema anamwabudu Mungu ko tukubaliane kuwa Mungu n Neno tunalolitumia kuwakilisha kitu tunachokiamin kuliko awaye yote hapa duniani.... Wala hayupo Mungu Mmoja kila mtu na Mungu wake.... Ni sawa na niseme kuwa mm napenda gari... Enhe kweny gari unakuta mtu wa shambani atatumia gari aina tofauti kbs kulingana na kazi shamba, the same mtu wa kupenda starehe hawez Tia pick-up landlover atatumia gari ingne .. il kumbuka zote tunaziita gari... Cjui mnapata concept kidgo wanaJf
 
Inabidi tu tuwe wapole tusubiri Karma, hawa watengenezaji wa huu ugonjwa watajulikana tu na wataumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…