#COVID19 Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

Unaweka update ya chanjo, wenyewe wanaita busta , kama unavyoupdate windows kwenye kompyuta[emoji1787]
Watu watachanjwa kuliko wachawi [emoji1787] kitu cha booster kipo njiani! Sh*t
 
FFor
For sure by introducing these kinds of vaccine.... NWO want to test their order...to see how people can obey their order to control the whole world.
 
FFor

For sure by introducing these kinds of vaccine.... WNO want to test their order...to see how people can obey their order to control the whole world.
Maandalizi ya NWO! Watu wanafikiri NWO itakuja ghafla, itakuja laini hivi hivi! Viongozi wa dini wakikubali scientists wasio na hofu ya Mungu kutuongoza ni hatari sana.
 
So Biblia yako haikuletwa na hao Maduntitu?
I am saying the Word of God. Na kwa taarifa yako Biblia huijui chanzo chake wala aliyeileta na ndiyo sababu unataka kuiambatanisha na chuki zako za kishetani. Hujui, nyamaza lisije kukupata baya kuliko la pale mwanzo.
 
Mashabiki wa Chanjo na waliopata Chanjo hawawezi kuchangia Uzi huu .
 
Shetani yupi Mkuu. Vewe tulia Kama hutaki kuchanja wenzio tunachanja!
Ninatimiza wajibu wangu. Una uhuru wa kukubali na kutii ama kukataa na kuasi!. Matokeo yake utayaona katika kila uchaguzi unaofanya.
Vipi hiyo Bible unayoiamini, ililetwa na nani?
Kama wewe humui Mungu, huwezi kuongelea habari ya Biblia kwa kuwa hiyo ni kwa werevu tu.
 
Maandalizi ya NWO! Watu wanafikiri NWO itakuja ghafla, itakuja laini hivi hivi! Viongozi wa dini wakikubali scientists wasio na hofu ya Mungu kutuongoza ni hatari sana.
Sasa Viongozi wa Dini wenyewe ndo wamekuwa maagents wao ....kuna kupona apo kweli....ikitokea kiongozi wa nchi Fulani anapinga iyo michakato ya janjo na corona kwa ujumla ...ujue anajiandaa kufa..
 
Cc
 
Don't take any kind of vaccine because, even if you take it...you will still wear mask...and even got corona virus... So why do we need vaccines..?
And you will even die from corona virus, ni mambo ya ajabu.
 
Ujinga ni kitu kibaya sana. Na wazungu ohili walilijua mapema. Waliwekeza sana kwenye dini tukawaona wajinga, sasa wanatutawala kwa dini yao ambayo imetupumbaza. Muambudu bwana Mungu wako ila sio dini zao.
 
Kwani mara ya kwanza kuwa na pandemic mwaka huu. Kulikuwa na spanish flu 1918. Iliua watu mil 500. Nyie wenye imani za kichawi mnafikiri kuna mtu anawaroga.
It's not true that vaccines haziwezi kupatikana ili kuidhibiti korona kabisa; variants wanaendelea kuibuka kwa sababu idadi ya death toll haijatimia kama walivyopanga mabourgeoisies kwenye huu mradi wao wa kupiga hela na kuharibu uumbaji wa Mola.
 
Huo muda wanaopoteza kutengeneza chanjo kwanini wasingekaa watulie watengeneze dawa,
 
Sasa Viongozi wa Dini wenyewe ndo wamekuwa maagents wao ....kuna kupona apo kweli....ikitokea kiongozi wa nchi Fulani anapinga iyo michakato ya janjo na corona kwa ujumla ...ujue anajiandaa kufa..
Ni kweli tena wapo wengi.
 
Aya mambo haya twendeni taratibu tu kwanza.
 
Lambda ni kwey mgosi
 
Ngoma ngumu lambda anaupiga mwingi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ