kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Huu uzushi wa virusi utaisha lini?Nimeikuta hii habari kwenye ukurasa wa Millard Ayo. Kirusi hicho ni hatari zaidi ya kile cha mwanzo.
Kinashambulia kinga za mwili mara mbili zaidi ya kile cha awali. Mpaka sasa hakuna dawa wala chanjo ya hicho kirusi.
Corona inasuasua, hapa tusipokuwa makini tutapatikana.View attachment 2107848View attachment 2107849
ndio kina dawa ya kupunguza makari yakeCha zamani kina dawa au chanjo ?
Kilikuwa kimetulia tu kilivyoona korona anatamba kikaona wivu! Sasa kimeamua Kama mbwai iwe mbwai..😂Sawa waulize kilikuwa kinaishi wapi before kama wamekigundua hivi karibuni ??
Ah,kumbe UKIMWI nilidhani UVIKO!Nimeikuta hii habari kwenye ukurasa wa Millard Ayo. Kirusi hicho ni hatari zaidi ya kile cha mwanzo.
Kinashambulia kinga za mwili mara mbili zaidi ya kile cha awali. Mpaka sasa hakuna dawa wala chanjo ya hicho kirusi.
Corona inasuasua, hapa tusipokuwa makini tutapatikana.View attachment 2107848View attachment 2107849
Sawasawa mkuu....Kumbe hata huyo Milard Ayo huwa hajiongezi kabla ya kutoa habari? Na kwanini haweki “source” ya habari zake? Kwasababu hiyo “variant” ya HIV inatibika.
“The new variant has been found mainly in The Netherlands and it is more infectious, but it can be detected with existing tests and responds to treatment”
‘VB’ is a new and more infectious variant of HIV – but it is treatable
The new variant has been found mainly in the Netherlands and it is more infectious, but it can be detected with existing tests and responds to treatmentwww.newscientist.com
Baada ya majaribio ya kile cha korona kugonga mwambaAisee kirusi cha mchongo