Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

BONGOLALA !!!😂😂
 
Jiandae tutakutafuta utupe ushahidi...bora ungepost bei ya maharage huko kwenu sh. ngapi walau tufanye biz
 
kuna mjomba wangu alikuwa miongoni mwa makomandoo hao huo mkasa alinipa majuzi tu baada ya Mzee Meko kwenda Kigali kwa njia ya barabara.. anasema waliwafanya vitendo vibaya baadhi ya walinzi wa Kgame kama ushahidi wa kuwepo kwao
 
Story za kwenye vijiwe vya kahawa kupoteza muda watu wakalale.
 
Naomba kashata mkuu,kahawa ya leo chungu Sanaa,naomba kashata mbili
 
hallo sikujua kumbe na wewe ni mtunzi mzuri wa tamthilia kama wakina Shigongo. Kaza buti mwanagu na wewe utoe kitabu. Inalipa.
 
we bwana ni hatari. Umejuaje mission zetu. Mimi ndiye nliongoza hiyo mission. Na nilimtia kovu kwenye makalio. Kama mtu anabisha amwambie amwonyeshe makalio yake ataona kovu
 
[emoji23] [emoji23] umeongea kwa hisia sana usiteseke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…