Waluhwanoyena
JF-Expert Member
- Sep 19, 2018
- 387
- 453
Hapana, wawashughulikie mabeberu moja kwa moja hukohuko kwao kabla hawajafika kwetu kuungana na wapinzani kuwashughulikia wana-lumumba.Naam mimi nakuamini kabisa na niseme kuwa binafsi nakuelewa sana. Jeshi letu ndiyo bora sana Afrika nzima kwa kila kitu. Ndiyo maan Raisi alifanya busara sana kuwaachia JWTZ washughulikie swala la korosho. Namshauri kama akiweza alipe jeshi mamlaka liwashugulikie hawa wapinzani wanaotumiwa na mabeberu, najua vijana wetu wakakamavu kutoka TISS na JWTZ wanaweza kuingia hata pale Brussels bila kuonekana na wakaondoka bila hata kuonekana.
mkuu tena ni mpuuzi wa kiwango cha majnun..Tanzania na hiko kijiji cha watutsi Rwanda what the f...,,WEWE NI MPUUZI SANA NAKUDHARAU KUANZIA LEO,KARWANDA LAND LOCKED COUNTRY IPAPAMBANE NA TZ??
LEO UMETHIBITISHA KUWA WEWE NI MPUUZI WA HALI YA JUU KULIKO MPUUZI YOYOTE HAPA JF.
CHEZENI NA BURUNDI UGANDA NA CONGO SIKU MKIJARIBU TUNAIFANYA RWANDA MKOA WA TZ NA TUNAHITAJI USIKU MMOJA TU.
TUNAWAPIGA KUTOKA CONGO,TUNAWATWANGA KUTOKEA BURUNDI.
KAGAME KWA JESHI GANI? KWA LOGISTICS ZIPI???
KAGAME ANASHINDWA KULALA USINGIZI VIZURI AKIOOGOPA TUVIKUNDI TWA WAASI HALAFU AIWEZE TANZANIA??
TAFAKARI MARA MBILI GENTAMYCINE,NARUDIA WEWE NI MPUUZI NA UMEANDIKA UPUUZI WA HALI YA JUU.
Wewe unataka kusema hii hadithi?hallo sikujua kumbe na wewe ni mtunzi mzuri wa tamthilia kama wakina Shigongo. Kaza buti mwanagu na wewe utoe kitabu. Inalipa.
funga Kwaresima tu, hawa madogo ni waongo wa kutupwaDah nimeshindwa kujua nicheke ama nilie au nifunge kwaresma kwa ajili yako mleta mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya jeshi huwezi kujua wewe, funga tu.funga Kwaresima tu, hawa madogo ni waongo wa kutupwa
nifunge nini km buti ni miaka kadhaa kabla hujazaliwaMambo ya jeshi huwezi kujua wewe, funga tu.
Kumteka kiongozi wa nchi ni kawaida sana?Hii nyuzi ni kawaida sana lakin itapata komenti nying kupita maelezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao uliowataja wamefanyeje?nifunge nini km buti ni miaka kadhaa kabla hujazaliwa
unaleta porojo wakati hata mitaa ya Kigali huijui
kuweka supporting link tufuatilie huna/ huwezi
unadhani ni kijiwe cha khawa
unajua Kagame kakaa msituni miaka mingapi?unamjua Mtikila? Kombe? na Mwansheria wetu
watoto mliojiunga mwaka jana 2017 msitudanganye
weka link sio Facebook hapa
Hii ni chai ya rangi au maziwa?
Nije na sukari yangu au sukari ishawekwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chai ni ya moto mno mjombaDah nimeshindwa kujua nicheke ama nilie au nifunge kwaresma kwa ajili yako mleta mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yetu ni kisiwa cha amani, hakiwezi kugombana bila kuchokozwa...Hapana, wawashughulikie mabeberu moja kwa moja hukohuko kwao kabla hawajafika kwetu kuungana na wapinzani kuwashughulikia wana-lumumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuri zaidi jeshi hilo liwe ndiyo tume ya taifa ya uchaguziNaam mimi nakuamini kabisa na niseme kuwa binafsi nakuelewa sana. Jeshi letu ndiyo bora sana Afrika nzima kwa kila kitu. Ndiyo maan Raisi alifanya busara sana kuwaachia JWTZ washughulikie swala la korosho. Namshauri kama akiweza alipe jeshi mamlaka liwashugulikie hawa wapinzani wanaotumiwa na mabeberu, najua vijana wetu wakakamavu kutoka TISS na JWTZ wanaweza kuingia hata pale Brussels bila kuonekana na wakaondoka bila hata kuonekana.
Uchaguzi utakuwa wa amani sana kama watafanya hivyo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuri zaidi jeshi hilo liwe ndiyo tume ya taifa ya uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kina ZZK na TAL watatembea miendo mibaya ya kukwepa ndegeUchaguzi utakuwa wa amani sana kama watafanya hivyo!
Pole yakoHii ni ya mdalasini, inatibu hadi nguvu za kiume [emoji23][emoji23][emoji23]
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA