Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Nshakwabia punga ni babako na wewe ni kinyesi ulizaliwa makalioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nchi huwaaminisha watu wao kuwa jeshi lao ni kali sana. Ni propaganda za kidola tu
Nakubaliana na ww mkuu!!
Na vilevile kuna vitu vingi vinafanya jeshi kuwa imara zaidi ya nchi nyingine
Pato la taifa,uzalendo wa wananchi na hata ukubwa wanchi
Na ukumbuke jwtz ina active soldiers wengi kuliko rwanda
Hii inachangia sanaa ubora wa nchi ki jeshi
 
Wewe ndiyo wasema habari hii ya kijiweni, huamini.
 
Huyo Gentamycine ni mbishi
 

Hata ingekuwa ni hadithi ya kubuni (fiction) isingepata mchapishaji achilia mbali kununuliwa hicho kitabu.
 

Hii ni ndoto au umeshtuka ukajikuta unawaza hivyo? Au haujala usiku ulikuwa mrefu?
 
Kila nchi huwaaminisha watu wao kuwa jeshi lao ni kali sana. Ni propaganda za kidola tu
Na ndicho watu wengi hawakijui.
Embu ona nchi kama ya Tanzania, kuongeza tu mishahara ya wafanyakazi ni shida, unafikiri zinatengwa Tsh ngapi kwa ajili ya Defence Budget..kuna wakati Jeshi lilikuwa linadaiwa madeni makubwa na Tanesco na Dawasco hadi CDF akaomba tena kupitia Media umeme usikatwe.Naona kuna wajinga humu wanapayuka tu eti tuna jeshi imara! In terms of what real? Labda discipline kwa sababu hatusikii mutiny wala coup d' etat.
Hata kwa wingi tu wa wanajeshi tumezidiwa na nchi nyingine za East Africa, tuna jeshi lisilozidi watu 27,000 wakati Rwanda wana active personnel zaidi ya 33,000, Ethiopia ndio kabisa, wana wanajeshi zaidi ya 155,000.Sasa huu ufahari wetu tunatoa wapi? Hata mafunzo, Jeshi letu halina cha ajabu, instructors na military advisors ni walewale wanaofundisha kwingine, wengi wanatoka China,USA, Germany etc. Kama ni vifaa ndio kabisaa,tumezidiwa hata na Uganda, jirani zetu hawa wameweza kununua ndege za kivita modern kabisa, Sukhoi 30 (Su 30) na wamekuwa wana mordenize jeshi lao tangu 1986 kwa msaada mkubwa wa US (U.S. was contributing a big chunk of Uganda Defense Budget, I am told Rwanda is now enjoying the same) sisi jeshi letu la anga ni almost non-existent. Endeleeni tu kujisifia, huku mnaachwa kila siku.

Anyway Uzi unakwenda tu😂😂
 
Ngoja waje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…