Kisa cha kutafakarisha na kufikirisha juu ya Kikwete na Kagame

Umemsimuliwa Kagame wewe humjui
Angeniambia walimteka na kuondoka nae na kumleta Tanzania hapo kidogo ningeamini.
Sababu kama walinzi wake wote walizimwa kusingekuwa na mtu wa kutoa taarifa kwa majeshi.
Kama kungetokea mtu ameona na kutoa taarifa basi PK angetumika kama ngao wasishambuliwe kwa kuogopa kumdhuru raisi wao, ndiyo maana nimesema wangeondoka nae ningeamini kweli iliwezekana.

Wangemuachia angeita majeshi na hao makomando wasingewahi kuvuka mipaka kutoka RW, mziki ungekuwa mnene sana.
 
Jamaa anatuletea story za primary hapa
 
Nilijua mtabisha
Ni kweli jw walifika mpaka chigale ila hawakumpata PK na adhabu kubwa aliyopewa PK ni kuvurugwa kwa m-23 (hili lilikuwa ni zaidi ya pigo coz M-23 walikuwa na plan ndefu Hawa ndio walikuwa master plan wa kivu republic)

Na kurudishwa kwa wahamiaji haramu(hii ilienda sambamba na counter intelligence yupo demu mmoja namjui vzr alikuwa ni spy due to this mission alivurugwa akili now day ni mwehu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa huyo Mwehu yupo wapi
 
Pumbavu Rwanda haina huo uwezo hata kidogo
Huwa nashangaa kuwasifu majeshi ya Kenya, Uganda, DRC , Burundi, Zambia,Malawi,Zimbabwe, Somalia, Ethiopia, Sudanizote mbili, Msumbuji na hicho kiichi Rwanda tena hiki tunapeleka JKT tu.

Tanzania ni nchi yenye jeshi zuri sana kwa ukanda huu wa kusini labda South kidogo anaweza kutusumbua lakini sio hao kenge wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna online TV kule you tube inaitwa Displore wametaja majeshi 10 bora Africa. Ni Uganda na Kenya tu hapa Africa Mashariki zimetajwa. Kenya wamebebwa na bajeti kubwa ya jeshi huku Uganda ikibebwa na Ndege nyingi na za kisasa za mashambulizi. Nilitamani niwafikie niwacharaze bakora maana hawakuitaja wala kuifikiria Tanzania ktk 10 best militaries in Africa.
 
Mbona umewahisha kuituma, ilitakiwa tarehe 1 April 2020
 
wabongo walivyo washenzi hawakumfanyia kitu mbaya kweli huyo mkuu wa nchi jirani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoo ya kweli haya!
 
Matango pori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…