Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Angeniambia walimteka na kuondoka nae na kumleta Tanzania hapo kidogo ningeamini.Umemsimuliwa Kagame wewe humjui
Sababu kama walinzi wake wote walizimwa kusingekuwa na mtu wa kutoa taarifa kwa majeshi.
Kama kungetokea mtu ameona na kutoa taarifa basi PK angetumika kama ngao wasishambuliwe kwa kuogopa kumdhuru raisi wao, ndiyo maana nimesema wangeondoka nae ningeamini kweli iliwezekana.
Wangemuachia angeita majeshi na hao makomando wasingewahi kuvuka mipaka kutoka RW, mziki ungekuwa mnene sana.