wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Uwezo wa makomandoo wetu kufanya hivyo wanaweza kweli ila hilo tukio mmmhhh cdhani ka kweli ila uwezo huo wanao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sema mashudu ila ujue tukio hili lilitokea na Kagame aliona aibu na kufadhaika mno na alibaki mpole mno baada ya hapo.Vidole vya jamaa havion haya kutype mashudu kama haya??
Hii sio siri tena kwani Majasusi Rwanda walikuja kujua baadae kupitia kwa Rais wao na hapa wengi twajua. Aminini jeshi letu ndugu zangu.
Walikuwa na wakati mgumu mno na kagame hakutaka hii habari ivuje maana ni aibu kwa nchi. Yupo wapi mnyarwanda GENTAMYCINE?Ok na Rwanda nzima ikakubaliana dunia ya nje isijue kua walinzi wote wa rais waliuawa usiku uliopita?
Kwanini mnatuone wenzenu wajinga?
Hapana, aliuliwa na Majasusi wa Rwanda hotelini. Aliitwa Patric Karegeya MKUU wa ujasusi Rwanda na sio CDF.Nami Mama_Aheshimiwe katika vikao vyangu vya kahawa nimeskia jk alimtorosha mkuu wa majeshi ya Rwanda kipindi hiko kutoka rwanda na kumpeleka south afrika
Lakini cha ajabu yule mkuu wa majeshi akauwawa huko south africa na baada ya uchunguzi ikaonekana waliomuua ni watanzania na sio wanyarwanda. Nikawa sielewi
Tufafanulie zaidi na hili kama walijua Freed Freed
Mwepesi mno. Yule mbabe kwa Bundi na Congo DRC tu.Hivi Fred kagame unamjua unamskiaa??
Ingekuwa vice versa ningekuunga mkono
Kwahiyo man umekomaa kuwa hiyo thread yako ni ukweli? hahahahaWalikuwa na wakati mgumu mno na kagame hakutaka hii habari ivuje maana ni aibu kwa nchi. Yupo wapi mnyarwanda GENTAMYCINE?
Kwa hiyo karegeya ndo alitoroshwa na jk kutoka Rwanda sio?Hapana, aliuliwa na Majasusi wa Rwanda hotelini. Aliitwa Patric Karegeya MKUU wa ujasusi Rwanda na sio CDF.
GENTAMYCINE kumbe mkuu we ni mnyarwandaWalikuwa na wakati mgumu mno na kagame hakutaka hii habari ivuje maana ni aibu kwa nchi. Yupo wapi mnyarwanda GENTAMYCINE?