Kisa Cha kweli chenye utata wa kibaiolojia mapacha wawili mzungu na muafrika

Kisa Cha kweli chenye utata wa kibaiolojia mapacha wawili mzungu na muafrika

DNA imeshathibitisha mkuu, au unamaanisha ukipenda ua upende na boga lake?
Ua ni pale unapomkuta yuko naye tayari kabla ya wewe kuwa naye, na sio yule anayekuletea wakati tayari wewe ndiye uko naye. Hiyo daima ni ngumu
 
Mara nyingi uwezo wa kifedhq ndio huamua nani awalee.
Aliyechagua kua baba bila shaka hayuko vibaya.
 
Back
Top Bottom