Swet-R JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 5,688 Reaction score 8,274 Nov 3, 2026 #21 bless on said: Ndio, kisa Cha ukweli kipochi manyoya kimegawiwa kwa watu wawili na kimeleta matokeo chanya. Click to expand... Bab kubwa sana
bless on said: Ndio, kisa Cha ukweli kipochi manyoya kimegawiwa kwa watu wawili na kimeleta matokeo chanya. Click to expand... Bab kubwa sana
JAYJAY JF-Expert Member Joined Oct 31, 2008 Posts 9,120 Reaction score 9,727 Nov 3, 2026 #22 bless on said: DNA imeshathibitisha mkuu, au unamaanisha ukipenda ua upende na boga lake? Click to expand... Ua ni pale unapomkuta yuko naye tayari kabla ya wewe kuwa naye, na sio yule anayekuletea wakati tayari wewe ndiye uko naye. Hiyo daima ni ngumu
bless on said: DNA imeshathibitisha mkuu, au unamaanisha ukipenda ua upende na boga lake? Click to expand... Ua ni pale unapomkuta yuko naye tayari kabla ya wewe kuwa naye, na sio yule anayekuletea wakati tayari wewe ndiye uko naye. Hiyo daima ni ngumu
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,593 Reaction score 46,759 Nov 3, 2026 #23 Mara nyingi uwezo wa kifedhq ndio huamua nani awalee. Aliyechagua kua baba bila shaka hayuko vibaya.