Hell is real
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 204
- 365
- Thread starter
-
- #121
Ufunuo wa Yohana 21:23 Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana-Kondoo.Oya wadau wabishi km mm tumsimbeze cha msing apa ampe simu uyo mlokole aje hapa tumuulize maswali
1.je mwili,sura , umbile la huko ni km hili la binadamu
2.ataueleze io mijitu ya kutisha imafananaje na je akienda ONG BAK Huko hawez kuyapiga KO
3.madhar ya eneo likoje kuna jua na mwrz mawingu nk
4.hao malaika aliwaona sura zao ili tuingizie kwenye kujaribu kuchora sura zao
Maswali ni mengi uyo km ni kwel ilibid aweke lockup na wanasayans kuna haja ya kud3velop technologia ile iwe rahis watu kufanya astral projection
We jibu maswali clearly acha kutumia mistar ya biblia1 Wakorintho 15:40 Tena kuna miili ya mbinguni, na miili ya duniani; lakini fahari yake ile ya mbinguni ni mbali, na fahari yake ile ya duniani ni mbali. 1 Wakorintho 15:41 Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota. 1 Wakorintho 15:42 Kadhalika na kiyama ya watu. Hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutokuharibika; 1 Wakorintho 15:43 hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika fahari; hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu; 1 Wakorintho 15:44 hupandwa mwili wa asili; hufufuliwa mwili wa roho. Ikiwa uko mwili wa asili, na wa roho pia uko.
Maji mengi yanaongeza nini kwenye roho ya mtu na uhusiano wake binafsi na Mungu?. Watu wanamiliki mabwawa ya kuogelea lakini bado dhambi zinawatesa na kuwaangamiza. Kuna siku utatuletea uzi wa kutuletea amri yako ya "11" kwamba tusivae suruali ni dhambi bali tuwe tunavaa " kanzu" kama Yesu ili tufike mbinguni. Mafundisho ya Kifarisayo hayo ya kuchuja mbu na kumeza ngamia. Sio kila mnachofundishwa huko "makanisani" basi mkizoe kama kilivyo. Watu huanzisha "dini" na "madhehebu" wakiwa na ajenda zao. Fungua macho!.Hiyo sio hoja kama watu wanasafiri kutoka hapa Tz mpaka India kwa sababu ya tiba ya mwili si zaidi ya Roho yako, unashindwa kusafiri kwenda kubatizwa sehemu yenye maji mengi??? Na wakati huo huo unasafiri kila siku kwenda ulaya
Isitoshe hapa bongo hamna hilo jangwa hivyo hiyo sababu haina mashiko
Hawa hapa waliojua umhimu wa maji mengi walisafiri
Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.
Mfano zipi tofauti na neno la MunguLete supporting documents hapa
Ewe MpumbavuYohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Yohana 14:7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.
Neno la Mungu ndo Dira, siwezi kukujibu bila maandiko utaanza kuniambia hizo ni fikra zanguWe jibu maswali clearly acha kutumia mistar ya biblia
Mithali 16:2 Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe;Ewe Mpumbavu
Methali 26:4-12
Usimjibu mpumbavu kipumbavu, usije ukafanana naye. Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.
Nikusaidie nini ?Luka 20:34 Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa; Luka 20:35 lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi; Luka 20:36 wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
Yohana 1:23 Akasema, Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, Inyosheni njia ya Bwana! Kama vile alivyonena nabii Isaya.Mungu mjanja so kaamua kumfufua mchizi aje alipe madeni ya watu kwanza
Mungu hapendi dhulma
Mathayo 5:6 Heri wenye njaa na kiu ya haki;Nikusaidie nini ?
Ebu kwanza tuambie mke wa Yesu (kwa mujibu wa Ndugai) alikuwa mtu wa namna gani.Yohana 10:27 Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. Yohana 10:28 Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu. Yohana 10:29 Baba yangu aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote; wala hakuna mtu awezaye kuwapokonya katika mkono wa Baba yangu. Yohana 10:30 Mimi na Baba tu umoja.
Hatubatizwi ili tusiwe na dhambi ila tunabatizwa ili kuitimiza haki yoteMaji mengi yanaongeza nini kwenye roho ya mtu na uhusiano wake binafsi na Mungu?. Watu wanamiliki mabwawa ya kuogelea lakini bado dhambi zinawatesa na kuwaangamiza. Kuna siku utatuletea uzi wa kutuletea amri yako ya "11" kwamba tusivae suruali ni dhambi bali tuwe tunavaa " kanzu" kama Yesu ili tufike mbinguni. Mafundisho ya Kifarisayo hayo ya kuchuja mbu na kumeza ngamia. Sio kila mnachofundishwa huko "makanisani" basi mkizoe kama kilivyo. Watu huanzisha "dini" na "madhehebu" wakiwa na ajenda zao. Fungua macho!.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Narudia tena, TUSITISHANE1 Wakorintho 2:14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
Yesu hakuwa na mke!!!Ebu kwanza tuambie mke wa Yesu (kwa mujibu wa Ndugai) alikuwa mtu wa namna gani.
Kwahiyo unapingana na mheshimiwa spika.Yesu hakuwa na mke!!!
Mathayo 15:14 Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili.
Mkuu funguka tusitishane nini???Narudia tena, TUSITISHANE
Ufunuo wa Yohana 14:13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.Kwahiyo mkuu huko mbinguni wataenda wakristo tu?
Basi nafasi zipo nyingi maana wasio wakristo mtapokelewa na yale majitu mawili ya kutisha.
Kwa mujibu wa maelezo ya mleta mada
note: Rekebisha story yako, nimewahi kuiskia muda sana hii story. . umesema wakatokea watu wamevaa mavazi meupe, yeye alijuaje hao ni malaika? Na yale majitu yalikuwa uchi au yalivaa nguo za rangi gani?
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Yohana 14:7 Kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba; tangu sasa mnamjua, tena mmemwona.Kwahiyo mkuu huko mbinguni wataenda wakristo tu?
Basi nafasi zipo nyingi maana wasio wakristo mtapokelewa na yale majitu mawili ya kutisha.
Kwa mujibu wa maelezo ya mleta mada
note: Rekebisha story yako, nimewahi kuiskia muda sana hii story. . umesema wakatokea watu wamevaa mavazi meupe, yeye alijuaje hao ni malaika? Na yale majitu yalikuwa uchi au yalivaa nguo za rangi gani?