Kisa cha Lutu: Hivi ni nani aliyegeuka nyuma kuthibitisha Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
53,537
Reaction score
133,017
Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?

1775326717674.png

Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha kuwa mke wa Lutu kageuka jiwe la chumvi.

1775326781693.png

Swali lingine la nyongeza. Kwanini waganga wanapigwa vita na wachungaji kwa madai ya kutoa masharti magumu pale wanapoonekana kusaidia wateja wao, ilihali naye Mungu amekuwa akitoa masharti yale yale na hayachukuliwi katika uzito sawa?
 
Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?

View attachment 3567598

Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha kuwa mke wa Lutu kageuka jiwe la chumvi.

View attachment 3567600
Swali lingine la nyongeza. Kwanini waganga wanapigwa vita na wachungaji kwa madai ya kutoa masharti magumu pale wanapoonekana kusaidia wateja wao, ilihali naye Mungu amekuwa akitoa masharti yale yale na hayachukuliwi katika uzito sawa?
Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora | Page 11 | JamiiForums Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora
 
Back
Top Bottom