Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?
View attachment 3567598
Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha kuwa mke wa Lutu kageuka jiwe la chumvi.
View attachment 3567600
Swali lingine la nyongeza. Kwanini waganga wanapigwa vita na wachungaji kwa madai ya kutoa masharti magumu pale wanapoonekana kusaidia wateja wao, ilihali naye Mungu amekuwa akitoa masharti yale yale na hayachukuliwi katika uzito sawa?