HATA angekuwepo ma angekufa TU ilo swali lako bado lingeliulizwa ni hulka ya kutafiti tafiti.Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?
View attachment 3567598
Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha kuwa mke wa Lutu kageuka jiwe la chumvi.
View attachment 3567600
Swali lingine la nyongeza. Kwanini waganga wanapigwa vita na wachungaji kwa madai ya kutoa masharti magumu pale wanapoonekana kusaidia wateja wao, ilihali naye Mungu amekuwa akitoa masharti yale yale na hayachukuliwi katika uzito sawa?
Biblia ni masimulizi, hvy sio lazima uwe moja kwa moja kutoka kwa wahusikaUnategemea msimuliaji wa tukio atoke nje ya wale wahusika?
Saw mkuuUmeshaambiwa ilikua ni nguzo na c chumvi harisi
Lakini masimulizi yapicha hayaonyeshi kama walipeana distance
Wewe uongo unaupenda?Hata yasiyo na picha bado ni uongo tu.
Mungu alisema mpende adui yako, lakini at the same time mnamchukia Shetani.
UmeuaLabda alikua mbele yao kwenye huo msafara.
So alipogeuza shingo kuangalia nyuma wakamuona anavyobadilika kwa sababu wao walikua nyuma yake.
Who knows!!!!!
Mbona mgunduzi wa Mlima Kilimanjaro alitokea Ulaya.HATA angekuwepo ma angekufa TU ilo swali lako bado lingeliulizwa ni hulka ya kutafiti tafiti.
Ila ajabu mkuu kina WATU wanaomini fuvu la MTU WA kwamza Wa kale lillikuwa olduvai joji je ni fuvu hilo pekee je AMBAYO hayakupatikana?
Pointi yangu ni kwamba hayo masimulizi bila kujali yamesimuliwa na mtu wa tatu lakini lazima chanzo chake kitoke kwa wale watu waliohusika kwenye hilo tukio.Biblia ni masimulizi, hvy sio lazima uwe moja kwa moja kutoka kwa wahusika
Hapana sisemi kama kuna picha ya hilo tukio.Scars yani ujanja wote huo unaamini kulikuwa na picha enzi hizo? 🤔
Hii ina sound freshLabda alikua mbele yao kwenye huo msafara.
So alipogeuza shingo kuangalia nyuma wakamuona anavyobadilika kwa sababu wao walikua nyuma yake.
Who knows!!!!!
Nadhani kuambiwa wasigeuke nyuma haikuwa na maana ya baada ya yote kutokea bc msirudi na kuangalia n kipi kilitokea, so baada ya yote kuna ambao walitembelea na kuona hayoPointi yangu ni kwamba hayo masimulizi bila kujali yamesimuliwa na mtu wa tatu lakini lazima chanzo chake kitoke kwa wale watu waliohusika kwenye hilo tukio.
Ikiwa tukio la Mke wa Lutu lilihusisha Mke, Mume pamoja na watoto wawili, na hakukuwa na muhusika mwingine wakati tukio hilo linafanyika.
Maana yake primary source ya simulizi lazima itoke kwa Baba au hao watoto. Ambao ndio wanahusika kwenye swali langu, walijuaje kuwa Mama au Mke amegeuka kuwa jiwe la chumvi?
Nakubaliana na wewe mkuu,Labda alikua mbele yao kwenye huo msafara.
So alipogeuza shingo kuangalia nyuma wakamuona anavyobadilika kwa sababu wao walikua nyuma yake.
Who knows!!!!!
OK ngoja nikituliaUzi ni mrefu sana huo. Labda uni direct kwenye post ya jibu moja kwa moja