Chumvi ikipata joto huyeyuka na ikipata maji vilevile inakuwa maji. Je hadi mwaka unaisha hizo hali mbili zote hazikuipata hiyo chumviEbooo si waligeuza mwaka kesho wakamkuta hivyo we vp bhana 😎😎😎
🙆🏻🙆🏻♂️🕴🏻Pengine watoto ndiyo walio muona vile wao walikuwa nyuma ya wazazi wao
Mkuu unaleta logic na facts kwenye Imani hutapata jibu imani lazima uondoe ufahamuChumvi ikipata joto huyeyuka na ikipata maji vilevile inakuwa maji. Je hadi mwaka unaisha hizo hali mbili zote hazikuipata hiyo chumvi
Masimulizi ya picha ni uongo maana hakukuwa na picha enzi hizoLakini masimulizi yapicha hayaonyeshi kama walipeana distance
Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora | Page 11 | JamiiForums Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na GomoraHoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?
View attachment 3567598
Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha kuwa mke wa Lutu kageuka jiwe la chumvi.
View attachment 3567600
Swali lingine la nyongeza. Kwanini waganga wanapigwa vita na wachungaji kwa madai ya kutoa masharti magumu pale wanapoonekana kusaidia wateja wao, ilihali naye Mungu amekuwa akitoa masharti yale yale na hayachukuliwi katika uzito sawa?
Dhambi ambayo hata shetani huikimbia | JamiiForums Dhambi ambayo hata shetani huikimbia
Umeshaambiwa ilikua ni nguzo na c chumvi harisiChumvi ikipata joto huyeyuka na ikipata maji vilevile inakuwa maji. Je hadi mwaka unaisha hizo hali mbili zote hazikuipata hiyo chumvi
Uzi ni mrefu sana huo. Labda uni direct kwenye post ya jibu moja kwa mojaFumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora | Page 11 | JamiiForums Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora