Kisa cha Lutu: Hivi ni nani aliyegeuka nyuma kuthibitisha Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?

kwasababu wanganga wanaendesha masharti yao kwa usiri mzito ndo maana masharti yao hayachukuliwi sawa mfano vitabu vya kiganga vimekuwa havisambazwi kwa wengi ili jamii ivisome na kujua masharti yaliyomo hvo kubakia na uelewa wa mtu binafsi..Wakati masharti ya Mungu Yanawekwa bayana kwenye vitabu na vitabu vinasambazwa duniani kote mfano injili na qu
 
hilo swali la lutu watakujibu wabobezi wa hcho kitabu
 
Nadhani kuambiwa wasigeuke nyuma haikuwa na maana ya baada ya yote kutokea bc msirudi na kuangalia n kipi kilitokea, so baada ya yote kuna ambao walitembelea na kuona hayo
Noted
 
Hoja sio uwazi wa masharti, hoja ni kwanini kuwe na masharti?
 
Tusubiri wagalatia waje kutoa majibu mkuu.
 
Inasemekana mabaki yake
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    39.3 KB · Views: 13
  • images.jpeg
    23.2 KB · Views: 13
Umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…