Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

Mzee anapeta hiyo😂anajifanya hajui. Uzuri wanajua sana wanachokifanya. Wakiwa in public ndo wanadownplay what they are doing.
Che...
Mjadala ili uwe na tija unahitaji adabu.

Umeweka video nzuri na inaeleweka.

Hapana haja ya kunifanyia kejeli kuwa nilikuwa nchi za nje.

Niheshimu kama ninavyokuheshimu.

Nisome ninavyoandika kwako kwa heshima.

Turejee kwenye hii video.

Ninataka sana kujua historia na mwisho wa huyu kijana.

Kwani hakika lazima atakuwa na mahali alipoanzia.

Amesoma wapi, nani waalimu wake, nani wazazi wake, anatoka mji gani nk. nk.

Tuiridhishe na ukweli isiwe ni video ya kwengine imefanyiwa "dubbing."

Tusijenge mlima kutoka kichuguu.
 
Mi sijaiweka hiyo video clip.
Mwangalie vizuri aliyeiweka.

Kule YouTube ziko nyingi tu.
 
Mzee wangu hizo videos ziko nyingi tu huko Youtube. Sasa kama mtu kavaa mask lengo lake si ni kujificha, unadhani wewe utamtambua? Labda watu wa usalama walishamalizana nae.
 
Hatukatai😂😂huenda uko sahihi kwenye hayo ya TANU maana hakukuwa na CCTV. Ila tunaoneshwa footage za magaidi siku hizi. Na zingine wanajirekodi wenyewe kabla ya kwenda kuua watu wasiohusika kwa kisingizio kuwa wanafanya kazi ya allah.

Alafu wewe unakuja kuwatetea hapa. Maswali magumu yakianza unakimbilia kumsingizia Nyerere.

Kubali kuwa magaidi wanatengenezwa na masheikh na viongozi wa dini wenye misimamo mikali.

Usituambie hao wamesingiziwa eti kisa ulikuwa unafahamiana nao. Kuna watu mchana ni wastaarabu na heshima zao lakini usiku ni majambazi wenye roho za kinyama.

Unakamatwa kama unaviashiria vya ugaidi sio kwa vile wewe ni muislamu
Planet...
Nieleze kile nilichomsingizia Nyerere nipate kujibu shutuma hiyo.

Naomba niweke tahadhari.

Tuzungumze ugaidi Tanzania ili tujadili jambo tulijualo.

Tusijadili ugaidi unaowahusu Wamarekani na washirika wake.

Mwalimu Ahmada na Chambuso wamesingiziwa kwa kuwa waliachiwa mahakamani kwa kukosekana ushahidi.

Hawa ni ndugu zangu wala sithubutu kuwakana nawajua vizuri na nimeandika historia zao ziko hapa JF na kwengineko zinasomwa dunia nzima na kila mtu.

Ikiwa wewe au mwengine ana historia kinyume na hii niloyoandika na aiweke hapa.

Kusema kuwa mtu anakamatwa kwa "viashiria" vya ugaidi hiki ni kichekesho.

Hoja kama hii haiwezi kusimama mahakamani.

Hatukatai😂😂huenda uko sahihi kwenye hayo ya TANU maana hakukuwa na CCTV. Ila tunaoneshwa footage za magaidi siku hizi. Na zingine wanajirekodi wenyewe kabla ya kwenda kuua watu wasiohusika kwa kisingizio kuwa wanafanya kazi ya allah.

Alafu wewe unakuja kuwatetea hapa. Maswali magumu yakianza unakimbilia kumsingizia Nyerere.

Kubali kuwa magaidi wanatengenezwa na masheikh na viongozi wa dini wenye misimamo mikali.

Usituambie hao wamesingiziwa eti kisa ulikuwa unafahamiana nao. Kuna watu mchana ni wastaarabu na heshima zao lakini usiku ni majambazi wenye roho za kinyama.

Unakamatwa kama unaviashiria vya ugaidi sio kwa vile wewe ni muislamu
 
Nashangaa kama unaweza kukumbuka mambo ya miaka ya 50,60,70! Inakuaje hukumbuki haya matukio ambayo mengi sana yaliyotokea kuanzia miaka ya 2014 mpaka 2015 na hadi 2016. Ni kwa ushupavu wa Mwendazake haya yaliisha. Ila lilikuwa jambo la hatari sana. Polisi walikuwa wanavamiwa vituoni, wanauliwa, silaha zinakwapuliwa. Vituo vingi sana vilivamiwa. Mauaji ukanda wa MKIRU yalitamalaki. Viongozi wa vijiji kuuliwa.

Nashawishika kuamini hata wachunguzi mwanzoni walidhani ni majambazi. Lakini kwa mwelekeo ule wa mauaji yasiyo na msingi. Mara kauliwa kiongozi wa shina sijui afu hakijachukuliwa chochote. Hapo unajua lengo la hawa watu sio mali ni kusababisha terror, hence terrorism.
 
Mzee wangu hizo videos ziko nyingi tu huko Youtube. Sasa kama mtu kavaa mask lengo lake si ni kujificha, unadhani wewe utamtambua? Labda watu wa usalama walishamalizana nae.
Planet...
Unakusudia wamemalizana nje ya mahakama?
 
Mwalimu Ahmada na Chambuso wamesingiziwa kwa kuwa waliachiwa mahakamani kwa kukosekana ushahidi.
Kuachiwa mahakamani haimaanishi kuwa hauna hatia. Muda mwingi kuna makosa ya kiupelelezi au kiushahidi yanatokea.
 
Nashangaa kama unaweza kukumbuka mambo ya miaka ya 50,60,70! Inakuaje hukumbuki haya matukio ambayo mengi sana yaliyotokea kuanzia miaka ya 2014 mpaka 2015 na hadi 2016. Ni kwa ushupavu wa Mwendazake haya yaliisha. Ila lilikuwa jambo la hatari sana. Polisi walikuwa wanavamiwa vituoni, wanauliwa, silaha zinakwapuliwa. Vituo vingi sana vilivamiwa. Mauaji ukanda wa MKIRU yalitamalaki. Viongozi wa vijiji kuuliwa.

Nashawishika kuamini hata wachunguzi mwanzoni walidhani ni majambazi. Lakini kwa mwelekeo ule wa mauaji yasiyo na msingi. Mara kauliwa kiongozi wa shina sijui afu hakijachukuliwa chochote. Hapo unajua lengo la hawa watu sio mali ni kusababisha terror, hence terrorism.
Planet...
Kwa nini unasema sikumbuki?
Nakumbuka kila kitu na nikaalikwa Chuo Kikuu Cha Ibadan, Nigeria kuzungumza kuhusu ugaidi Tanzania.

Vyuo vikuu havikualiki ila uwe mjuzi wa somo husika.

Mimi nina hamu kubwa sana ya kujua kwa nini kesi za wote waliotuhumiwa kwa ugaidi hapakuwa na ushahidi na mahakama ikawaacha huru watuhumiwa.

Katika hali hii wako waliouliwa kwa ugaidi.
 
Kuachiwa mahakamani haimaanishi kuwa hauna hatia. Muda mwingi kuna makosa ya kiupelelezi au kiushahidi yanatokea.
Planet...
Ikiwa unayajua hayo makosa tafadhali tufahamishe.

Lakini jua hati za mahakama hazijasema hivyo.
 
Planet...
Kwa nini unasema sikumbuki?
Nakumbuka kila kitu na nikaalikwa Chuo Kikuu Cha Ibadan, Nigeria kuzungumza kuhusu ugaidi Tanzania.

Vyuo vikuu havikualiki ila uwe mjuzi wa somo husika.

Mimi nina hamu kubwa sana ya kujua kwa nini kesi za wote waliotuhumiwa kwa ugaidi hapakuwa na ushahidi na mahakama ikawaacha huru watuhumiwa.

Katika hali hii wako waliouliwa kwa ugaidi.
Kwahiyo according to you wote waliofungwa na mahakamani walifungwa kihalali? Maana tukileta mifano yasije yakaanza yale mahakama inawaonea waislamu. Sijui police wanawaonea waislamu. Huu wimbo nimeusikia mara nyingi sana. Ni eidha ukubali hata mahakama huwa inafanya makosa au useme iko sahihi kwa maamuzi yote ambayo imewahi kuyafanya. Isiwe tu kwa sababu ni convenient kwa hii case ya hawa ndugu zako.
 
Planet...
Ikiwa unayajua hayo makosa tafadhali tufahamishe.

Lakini jua hati za mahakama hazijasema hivyo.
Unakumbuka ile incident police walivamiwa na kuuliwa wakiwa kwenye gari yao. Nadhani ilikuwa maeneo ya mkuranga kama sio kibiti. Police 8 waliuliwa. Kama unalikumbuka hili tukio, wale walikuwa ni majambazi au magaidi?
 
Basi tuwajumuishe muwe pamoja nao
Wenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi na kisiasa ndio TU wenye uwezo wa kuiaminisha dunia juu ya Jambo Hili na like Kwamba si sawa na Hili Ni sawa.
Huna nguvu Hakuna wa kukusikiliza
 
Unakumbuka ile incident police walivamiwa na kuuliwa wakiwa kwenye gari yao. Nadhani ilikuwa maeneo ya mkuranga kama sio kibiti. Police 8 waliuliwa. Kama unalikumbuka hili tukio, wale walikuwa ni majambazi au magaidi?
Planet...
Sina tatizo na matukio wala tukio hilo.
Ninachoomba ni ushahidi.
 
Kwahiyo according to you wote waliofungwa na mahakamani walifungwa kihalali? Maana tukileta mifano yasije yakaanza yale mahakama inawaonea waislamu. Sijui police wanawaonea waislamu. Huu wimbo nimeusikia mara nyingi sana. Ni eidha ukubali hata mahakama huwa inafanya makosa au useme iko sahihi kwa maamuzi yote ambayo imewahi kuyafanya. Isiwe tu kwa sababu ni convenient kwa hii case ya hawa ndugu zako.
Planet...
Hakuna mtuhumiwa aliyefungwa kwa ugaidi.
 
Back
Top Bottom