Niliwahi kufika kijiji cha Ziba na ibologero, wale jamaa wanaojenga misikiti nadhani ni waarabu, wanajenga msikiti na kuchimba visima vya maji, sasa ikawapo jumuia kwa mzee mmoja kwenye kuelekea kufunga wakaaswa wawe makini maana magaidi wameanza kuingia pale kijijini habari ilinistua sana maana jamaa kua na ndevu ilikua kosa au uislamu wao ndio kosa halafu wanajenga na kuondoka zao na kuwaachia vitu vyote kijijini, toka hapo nilijifunza sana kuhukumu watu kwa ujumla wao ni kosa kubwa sana unaweza kulifanya kwa kutofahamu
I do not generalize. Hata mwanzo nilisema wapo masheikh wanaswali wanafunga wanaendelea na maisha yao. Ila kama unapreach incitement to radicalism unapaswa kushughulikiwa
Toa mfano wa mafundisho ya uislamu yanayohamasisha ugaidi halafu ujue mimi sio muslim lakini nilipata elimu kubwa na mtambuka ya mambo ya kidunia na kujisomea journals mbali mbali za wanazuoni na kufahamu mengi,
Kama magaidi wapo wa dini zote why tuwahukumu waislamu pekee au wale Tamil Tygers wao ni waasi sio magaidi halafu wale wa kenya mungiki ni waasi hawakua magaidi ?
I do not generalize. Hata mwanzo nilisema wapo masheikh wanaswali wanafunga wanaendelea na maisha yao. Ila kama unapreach incitement to radicalism unapaswa kushughulikiwa
Sio mara ya kwanza tanzania kuhusishwa na ugaidi. Shambulio la 1998 magaidi wa kitanzania walihusika. Na kama watu wa al qaeda wanaweza kuja kujificha hapa lazima wana watu wanaowakaribisha na kuwahifadhi. Sasa ukionekana una misimamo mikali na unafundisha radicalism kwa vijana, watu watakuja kukutembelea ili wajiridhishe ni nini lengo lako. Mahakama kuweza kuthibitisha au kutothibitisha haimaanishi kuwa eti sio magaidi. Kuna majambazi na wezi huwa wanakamatwa na kesi wanashinda na mwisho wao huwa wanauliwa mitaani kwa sababu huwa wanashinda mahakamani kwa sababu ya loop holes za kisheria.
Watu walijaribu kuutingisha mbuyu hapa tanzania, circa 2014-16. Na wakashughulikiwa vizuri tu.
We mzee magaidi wapo wa kila namna. Wakristo wapo, wasio na dini wapo. Ila majority ni muslim na hii ni kwa sababu ya mafundisho yao. Na wachochezi wa haya mambo ni viongozi. Anyways nisingependa sana tuuhamishie huu mjadala kuwa wa kidini. Ishu ni kwamba kilichokuwa kinaendelea MKIRU ni ugaidi. Tuelewane kwanza hilo
Hapana. Nadhani hiyo umekosea kusoma. Ilikuwa ni reply kwa bwana chotera. Kuitana “we mzee” ni lugha ya vijana siku hizi. Sio lugha ya kumuita kijana wa zamani. Sikuwa naiaddress kwako.
Hapana. Nadhani hiyo umekosea kusoma. Ilikuwa ni reply kwa bwana chotera. Kuitana “we mzee” ni lugha ya vijana siku hizi. Sio lugha ya kumuita kijana wa zamani. Sikuwa naiaddress kwako.
Ah basi wewe uko tofauti. Wapo wengi sana ambao wangeamua kufanya vikao vya siri. Wakaunda mabomu ya kienyeji na bunduki na kuamua kutafuta raia wa kumalizana nao. Kushughulikiwa simaanishi wauliwe. Ila tu radicalism ikomeshwe. Extremism sio nzuri. Mimi sipendi kudeal na mtu yoyote radical iwe hata kwenye maisha ya kawaida tu ambayo haihusiani na dini.
Sasa nyie mtawezaje kuiweka wakati ugaidi mnaita jihad. Kwamba mnapigania sijui kitu gani. Mtoke hapo mkaue watoto wadogo then mje mjisifie mnampigania allah. Ni ujinga sana kwa mtu mzima kuua watoto afu anajiona eti kuna kitu anapigania
Hivi ugaidi ni jihadi ? Kumbe wale waliompiga risasi Lissu walikuwa kwenye jihadi ?
Na Nyerere alipoivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu alikuwa anafanya jihadi?
Ah basi wewe uko tofauti. Wapo wengi sana ambao wangeamua kufanya vikao vya siri. Wakaunda mabomu ya kienyeji na bunduki na kuamua kutafuta raia wa kumalizana nao. Kushughulikiwa simaanishi wauliwe. Ila tu radicalism ikomeshwe. Extremism sio nzuri. Mimi sipendi kudeal na mtu yoyote radical iwe hata kwenye maisha ya kawaida tu ambayo haihusiani na dini.
Hivi ugaidi ni jihadi ? Kumbe wale waliompiga risasi Lissu walikuwa kwenye jihadi ?
Na Nyerere alipoivamia Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu alikuwa anafanya jihadi?
Mkuu hao jamaa aya za kitabu chao ndio tatizo,kuna aya zinaruhusu kufanya uhalifu na uhalifu huo huwa kwao ni haki.Tanzania ipo misikiti inayohubiri hayo mambo tena bila kificho ajabu kuna upofu au makusudi fulani hivi ya kujifanya hayaonekani.
Tatizo la Magaidi wenyewe wanajitambulisha kuwa ni waislamu.
Na nia yao ni kujenga dola ya kiislamu.
Wanaupigania Uislamu na Allah.
Ili sisi tusio waislamu tulipe kodi kwa waislamu.
Na Aya wanayo isimamia ipo
9:29
" Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet’ii. "
Na wanasema wamepewa baraka zote kwenu Waislamu. Kama hiyo video clip inavyosema.
Na mnawakaribisha kwa siri katika maeneo yanu na kuwahifadhi, Mkuranga, Kibiti, Kilwa, Tanga.
Nyie mkija hapa mnawatetea kwa jasho na damu kuwa sio magaidi.
Sisi tunawaamini wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.