Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Ni wazi kuwa mafisadi na wote wasioipenda serikali hii inayopiga vita rushwa na ufisadi kwa nguvu zote lazima wamchangie mwenzao Lissu kwa sababu zile zile. Lissu anajua rushwa ilivyomnufaisha kisiasa na kiuchumi hivyo ni adui mkubwa wa serikali hii na TAKUKURU ya leo sio ya Hosea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mh jpm anakosea kuwasakama majizi ya mali ya umma? Fafanua ueleweke mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizi habari za kumchangia Lissu zinasambaa km moto wa mabua
Jana tu Lissu kamwandikia Spika akimuomba arejeshewe Mshahara wake, hizo Bilioni za Magreth Kobelo Gonzaga ndio iwe kisa? huyo mumewe aliyeko ndani km miaka miwili ndani hakumchangia Lissu mpaka amtume mkewe aliyeko Canada kitambo?
ACHENI UONGO
 
Nadhani wewe utakuwa mchawi. Acheni mafisadi wanyooshwe
 
Ni kweli kabisa mkuu , habari hii imevuja
 
KAMA WALE AMBAO WAMEKULA 2:4 TRIONI
 
Kama mtu mhalifu akitoa msaada uhalifu wake siyo issue tena? Umesahau ya Singasinga?
 
Come on shoga!You might be sued kwa kutuaminisha kitu ambacho hauna uhakik nacho,otherwise ungeweka source ya stori yako kabla haijageuka kuwa ni kutupotosha au wewe kutafuta attention ya Sisi memba humu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maagizo toka mamlaka za juu/kishetani AKA kichaa jiwe.✌🏼✌🏼✌🏼


 
Mmemshindwa mlikuwa mkishindana naye nini kamanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…