Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

Kama hizi habari hazikutoka ndotoni wakati upo na umpendaye basi Nyalandu atakuwa kishabambikiwa kesi kubwa sana. sababu 1. Alikwenda mpaka Nairobi kumuangalia Lissu 2 Alijiondoa mpaka chamani.
 
We jamaa,hatari sana asee.
Nimefurahi lakini kwa nimepatwa huzuni pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamtisha, au? Kipi kigeni juu ya Rais Magufuli na serikali yake ya kimabavu kuwafikiria na kuwa - label hivi?? Matendo na mwenendo wake unathibitisha kuwa, ni wauaji hawa!!!

Wewe kama unafikiri kinyume chake, ni wewe na ni haki yako. Na wengine wakifikiri vinginevyo kwa vigezo vyao, ni haki yao pia.... Tusitishane maana nyakati hizo hazipo tena!!

Come on shoga!You might be sued kwa kutuaminisha kitu ambacho hauna uhakik nacho,otherwise ungeweka source ya stori yako kabla haijageuka kuwa ni kutupotosha au wewe kutafuta attention ya Sisi memba humu!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Likely, Yes. Visasi na kumwaga damu ni kawaida ya "Mtawala (si kiongozi) huyu" tuliyenae!!

Tafsiri ya kuzuia wanaomchangia mtu aliye hospitali kuokoa uhai wake, ni UUAJI TU 100%!!
 
Hii siyo hali ya kawaida wakuu.
Ninamashaka na bashite alikompeleka ni kwa freemason.
Aaa! Hakuna anayefurukuta Kutamka chochote au kukosoa.
HAKUNA CHA
Ccm wwnyewe
Viongozi wa juu wastaafu
Vyama vya upinzani kwisha!
Vyama vya wafanyakazi ndo kama mlenda!
Viongozi wa dini nao wanahofia kufutiwa taasisi zao
Hao ni kama hawana uhakika na wanachokiamini (MUNGU ALIYE HAI) Kuwa ana nguvu kuliko chochote.
BASHITE KIBOKO!!!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msindilize Takukuru akajibu tuhuma kama anaonewa, atashinda kesi. Yawezekana anazo tuhuma nzito lakini akaamua kumchangia Lisu ili kujitengenezea Kings dhidi yake. Tuoneshe alipo tumfuate ajibu tuhuma M
 

Take it with a pinch of salt.

Yaweza kuwa hao hao ndiyo wanavujisha hizi habari ili ionekane TL ana survive kwa hela chafu.

Just thinking aloud!
 
Sasa kama kumchangia mtetezi wa acacia ndio imesababisha kukamatwa kuna ubaya gani. La msingi kama shutuma dhidi yake ni za kweli. Tatizo wengine ufahamu umepotea kwa unyumbu.
 
huyu dada aunge mkono juhudi za ukandamiza wa demokrasia....nakwambia kesi haitafika mbali.
 
Sasa kmbwembe na wewe unachomzushia Lissu ni cha uwongo pia. Ama kwa akili zako ambazo haina uwezo wa kuchambua kitu ama kwa makusudi unamhusisha Lissu na yasiyo ya kweli. Alichofanya Lissu ni kujaribu kuishauri serikali namna bora ya kukabili tatizo lile ila siasa ikaingia na kuposha mambo.
 
Nilijua tu hii michango ni njia ya kutakatisha fedha chafu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…