Kisa cha Maiti ya mtu isiyotambulika iliyookotwa kwenye ufukwe wa bahari na Mvuvi wa Dagaa

Kisa cha Maiti ya mtu isiyotambulika iliyookotwa kwenye ufukwe wa bahari na Mvuvi wa Dagaa

Screenshot_20260226-171855~2.jpg

Wilhelm Leissner, afisa wa jeshi la Ujerumani aliyekuwa mkuu wa kitengo cha kijasusi cha jeshi la Ujerumani huko Hispania ABHWEIR. Huyu bwana alihakisha anapatabm nyaraka za major William Martin na kuzitafsiri kupitia kwa karl-Erich kühlenthal kisha Kuwasilisha ripoti hadi makao makuu ya jeshi huko Berlin ujerumani
 
Screenshot_20260226-172044~2.jpg

Afisa wa jeshi la maji wa Hispania kanali Josè Lopez Barron cerruti aliyekuwa kwenye payroll za wajerumani alifanikisha zoezi la kupatikana kwa nyaraka za major William Martin na kuwafikia majasusi wa kijerumani huko Hispania waliokuwa wakiongizwa na Adolf Clauss.
 
Screenshot_20260226-172119~2.jpg
luteni kanali Pascual del pobil luteni kanali wa kihispania ,ambaye ndiye alikuwa wa kwanza katika kuuchukua brifecase yenye document alizokuwa nazo major William Martin pale maiti yake ilipookotwa kwenye fukwe za Hispania huko kusini mwa huelva
 
Screenshot_20260226-172524~2.jpg

Huyu mzee anaitwa Charles Fraser-Smith ndiye aliyebuni na kutengeneza canister au Mfano wa pipa maalum la chuma lenye urefu wa futi sita na upana wa futi mbili lililotumika kuhifadhia mwili wa marehemu major William Martin pale utakaposafirishwa na Nyambizi
 
Screenshot_20260226-172557~2.jpg

Ewen Montagu na Charles Christopher Cholmondeley wakiwa kwenye picha ya pozi ya pamoja .wakiwa wamepumzika njiani wakielekea Scotland. Nyuma ni gari aina ya van iliyotumiwa kubebea mwili wa Major William Martin kutoka London hospital ya saint Pancras, hadi Scotland kwenye bandari ya West loch ilipokuwa nyambizi hii ya HMS Seraph
 
Screenshot_20260226-172622~2.jpg

Huyu ni jock Horsfall ,dereva wa gari iliyotumika kubeba mwili wa marehemu major William Martin kutoka London hadi Scotland. Hapo alipokaa ni nyuma ya gari na alichokalia ni pipa kubwa maalum ambalo ndani yake ndiko alikohifadhiwa major William Martin. Hapa ilikuwa ni njiani wamepumzika akipata GAHAWA.🤣🤣😂.
FUN FACT Huyu jamaa alichokuwa amekalia muda huo hakujua ni nini zaidi ya pipa hilo kuandikwa maandishi maalum FOS FOR SHIPMENT, HANDLE WITH CARE.📍
 
Unajua nipo Iran huku nakusanya Intelligence. Kuona ni vinu vingapi vya nuclear vimepigwa.... 🤓🤓🤓🤣... Anyway nitaendelea mdau usiwaze nitakutag
Hahahaha, Miku Nje ya MADA,naomba link ya ule Uzi wako wa jasusi wa KGB aliyetoroshwa
 
Hahahaha, Miku Nje ya MADA,naomba link ya ule Uzi wako wa jasusi wa KGB aliyetoroshwa
 
Mkuu Ahsante 🙏 sana,hii nilikua naitafuta sana
 
Back
Top Bottom