IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sometimes tunakusanywa mzeeJamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Kwaiyo undhani Miaka hiyo hakukua na njia yoyote yakutuma pesa...Kuzaliwa kwako 2000 haimaanishi watu waliokua wanaishi Miaka hiyo ...hawakuweza kufanya miamalaJamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Nimeomba kueleweshwa walikuwa wanatumaje?Kwaiyo undhani Miaka hiyo hakukua na njia yoyote yakutuma pesa...Kuzaliwa kwako 2000 haimaanishi watu waliokua wanaishi Miaka hiyo ...hawakuweza kufanya miamala
Jamaa hajasema alimtumia kasema alitumia 170kJamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Ttzo unakurupuka karudie kusoma halfu ujione ulivo mchiziJamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Alitumia kufanya manunuzi alipoenda dukani sio alimtumiaJamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Alitumia hiyo pesa dukani kwa demuJamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Alinunua vitu vya thamani hiyo,Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.