Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Uwiiii...from mzee kigagula tu jini mahaba..mtihani Jamani.
 
kivulini ... kuna mrembo mmoja alikua anaitwa NAOMI MAGEHEMA pale kivulini wayback unamtambua?
 
Kazi Unayo Chalii, Ngoja ni UNSUBSCRIBE fasta huu uzi nisije nikaamka asubuhi nimebon'goa na nishindwe kwenda haja siku nzima[emoji16]
 
Kazi Unayo Chalii, Ngoja ni UNSUBSCRIBE fasta huu uzi nisije nikaamka asubuhi nimebon'goa na nishindwe kwenda haja siku nzima[emoji16]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kisa kizur na haya mmb yapo sana,nakumbuka demu wangu alikuaga na mashetani na Mara nyingi alikua akiota ndoto zenye ukweli...anaota kuna jamaaa huwa anakuja usiku anabonge la mb***,

Huwa anakuja na sura yangu au mtu yoyote HB anafanya mapenzi nae na asubuhi lazim ahisi maumivu na ute ute katika sehem zake za siri (inauma sana aloo [emoji856][emoji856][emoji856])....migogoro ilikua haishiii na nadhani hayo majini mahaba ndo yana mchango mkubwa mp@ka mie kuachana nae,...

yeye mwenyewe alikua akipenda na anasema yalikua yanamsaidia kumuepusha na shari za kidunia!!! Nilikua nachukia saaana aloo mpaka nikafanya mpango akasomewe ila yeye binafsi alikua hataki kusomewa..!!!

basi alikua akipandisha yale madude yake yanampandiza chuki kuwa tuachane na mie nitamsumbua maishani mwake kwakua nina nyota ya kupendwa na wadada wengi,

japo sikuwahi kuwaza kumcheat mpk pale nilipoona sina changu tena hapa!!!

Anyway nilimpenda sana sema haikua rizki!!

Ila hizi mambo zipo sana jamani kama haijakukuta usiombe!!!
 
Endelea sasa kutusimulia huku tukisubiri chakula cha usiku kiive
 
".....Sura yangu au mtu yoyote HB...."
Mkuu inaonekana wewe ni HB sana...
Mpaka majini hukuibia sura, ili yakagongee madem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…