Atakua huyo mpangaji nae aliwapa story tu labda huyo Hakimu awe wa mchongo ila hapo ataulizwa maswali na hicho kifaa kilichopotea mpaka ataikimbia kesi...Engine ya Yamaha inaweza ikapelekwa Mahakamani uonyeshe hicho kifaa cha 67 milioni wakati Engine yote ni 25m yenye 20Hp au huwa anaacha Engine ndogo ya Meli ndani sio boat...