Kisa cha mpangaji mjaluo aliyewageuka wenye nyumba alizopanga na kuzichukua yeye mahakamani

Kisa cha mpangaji mjaluo aliyewageuka wenye nyumba alizopanga na kuzichukua yeye mahakamani

Yapo kuna mama ana kituo cha watoto yatima sinza mdukqni kinaitwa ZIADA amedhulumu nyumba pia

Nimewahi shuhudia kisa kinacho fanana na icho cha mleta mada aise jamaa alimtapeli mwenye nyumba kwa mfumo huo
 
Atakua huyo mpangaji nae aliwapa story tu labda huyo Hakimu awe wa mchongo ila hapo ataulizwa maswali na hicho kifaa kilichopotea mpaka ataikimbia kesi...Engine ya Yamaha inaweza ikapelekwa Mahakamani uonyeshe hicho kifaa cha 67 milioni wakati Engine yote ni 25m yenye 20Hp au huwa anaacha Engine ndogo ya Meli ndani sio boat...
 
Funzo: Usidiriki kumtoa mpangaji pekeako bila kufile case Kwa mkt wa mtaa wakahusika kuvunja na Kutoa Mali za mpangaji.
Yap na siku hizi unakihusisha na chama cha wapangaji. Then unatoa tu fresh.
 
Mambo si mepesi hivyo...kwanza kupata hiyo risit ya 67m si mchezo..
 
Back
Top Bottom