Kisa cha Mwitore na bi mdogo kimenikumbusha mkasa wa swahiba wangu

Mkuu utamu wa mchepuko ni ubaki kua mchepuko. Ukiuoa tu ukaufanya mke, yanakua yaleyale utaanza tena kutafuta mchepuko nje.
Kweli kabisa, mchepuko raha yake aendelee kuwa mchepuko hivyo hivyo akiwa mume au mke basi taabu inarudi pale pale.
 
Na ukishaoa hao wanne ndiyo tamaa yako juu ya wanawake inakufa kabisa, hutamani tena? Isue sio idadi ya wanawake, issue ni kuridhika. Usiporidhika utaishia kwa Mfalme Suleiman, ubatili mtupu.
 
Na ukishaoa hao wanne ndiyo tamaa yako juu ya wanawake inakufa kabisa, hutamani tena? Isue sio idadi ya wanawake, issue ni kuridhika. Usiporidhika utaishia kwa Mfalme Suleiman, ubatili mtupu.
Ndiyo maana nikasema kwa yule ambaye imani yake haimruhusu kuongeza vyuma vingine ajikaze tu. Naweza kuoa hao wanne na tamaa ikazidi au isiishe,ila lengo si hilo tu. Tunaoa wake zaidi ya mmoja kwa sababu nyingi.

Pili, kupewa "ofa" na Mola wetu ya kuoa mwisho wa nne kuna hekima yake, kwa maana kote huko msingi wa kuridhika upo, kuanzia mmoja mpaka hao wanne.

Tatu, tunaoa kwa sababu kadha wa kadha na si tu kukidhi haja zetu, bali kutimiza wajibu wetu.

Nne, siwezi kufika kwa Mfalme Suleyman sababu ile ilikuwa ni ofa na maalumu kwake tu, mimi nitaishia hao wanne huku wakiwa wanajuana sababu wote ni wake zangu.
 
Wengi wenu hamna sababu ya msingi ya kuoa wake wengi isipokuwa tamaa tu ya ngono. Na majority kwenye suala la kuoa wake wengi ndiyo karibu kila mtu anajikuta anataka atimize dini; ila kwenye masuala mengineyo wala hamkumbuki kama dini imewaamuru.
C.c Jurjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…