Kisa cha Mwitore na bi mdogo kimenikumbusha mkasa wa swahiba wangu

Kisa cha Mwitore na bi mdogo kimenikumbusha mkasa wa swahiba wangu

Ni kweli mkuu ila mie huwa naishia kuwatamani tu sijui kwanini, kuchukua hatua za kuanza kumtongoza mwanamke mwengine ikiwa nina mke anayenihudumia bila usumbufu huwa inakuaga ishu.

Labda demu mwenyewe anishobokee kiasi kwamba anipe greenlight tu [emoji23] ila sipendagi ku waste energy kumfuatilia mwanamke.
Kumbe nawe siku moja moja unakuwaga na akili enh ??
 
Back
Top Bottom