Kisa cha Mwitore na bi mdogo kimenikumbusha mkasa wa swahiba wangu

Dah ila wanaume tunakazi sana.
 
Inawezekana kabisa,
Daaah hatari sana.......kumbe unaweza kuwa ndoan afu usiwe na furaha
unaeza kuwa upo na mtu ambaye yupo yupo tu! Sio supportive kihisia hapo ndio shida inapoanza wala hakuchangamshi. Badala yake anakuwa source ya kero zaidi ya kukupa amani na furaha.
 
Mume anarudi nyumbani kavurugwa unajua ni mambo ya kazi, unahangaika kumfariji kumbe kavurugwa na mchepuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzuri Joy alikuwa comforter sio kivuruge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani michepuko wana package flani amazing! Anakuwa romantic katika namna flani amazing and very supportive emotionally. Raha anazokupa unaweza mjengea hata kighorofa kimoja fasta.

Mke uliemuoa kwa mamilioni ndio anakuwa source ya kero sijui kwanini yani, hawanaga emotional support esp.mkishaanza kulala na kuamka pamoja, wana ile hali ya kuchukulia poa ile bond mliyo nayo as they stop making you feel special...mambo huharibikia hapo sasa.
 
Hahahah shemela bana, kuoa wake wengi kuna faida yake bana japo sina hulka hio ila nachokiona ambacho ndio sababu ya michepuko huwa ni hali ya wake kuleta mazoea ya kipumbavu. Mke anakuwa unsupportive emotionally na kujifanyia vitu ilimradi kwa kuhisi anakumiliki ndio mnafikia stage mume ule uspesho unakuwa hamna tena. Mazoea yanaua emotional sparks zinazokoleza hisia za mapenzi baina yenu.

Watu wanao opt michepuko sio kwamba wote ni umalaya ila raha za mapenzi zinakuwa overshadowed na kero zaidi badala ya emotional support and comfort.
 
Ninyi mnaosema mke mmoja hatoshi hamjapenda tu! Na mke ni bora uishi jela kuliko kuishi na mume asiyekupenda!
Hahahahah mke mmoja mtamu akiwa hajaanza kukupuuza. Hata nyie mngekuwa ME lazma mngeona kero ya kupuuzwa. Unamuhitaji mke ili awe comforter awe rafiki yako ila after sometime anakuwa ha serve that purpose unafanyaje?

What do we do to broken glass? We replace them with new ones!
 
Sahihi binamu na sio kazi rahisi kama tunavyoandika kuoa wake wengi na wameusiwa oeni kuanzia wawili mpk wanne lakini muwe waadilifu mkishindwa uadilifu basi oa mmoja.Na wanaume wenye mathna (wake wawili)wana mtihani sana kwa Mungu maana uadilifu wengi unawashinda wanaegemea upande mmoja tu na ndo chanzo cha kurogwa na kurogana hikoo.

Hawa wa kizazi hiki jamani hawaoi kwa uadilifu bali kwa hulka na kukomoana na bimkubwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi ningelia aisee nigedakwa tu ila ningesingizia msiba hata wa ndugu yangu aidha mzazi au ndugu yangu wa damu, bibi mlezi au babu ningezuga kumkumbuka sana mke angenibembeleza kama ni romantic

Umenikumbusha kisa cha jamaa yangu mmoja wakati tuko chuo. Jamaa siku hiyo kaenda kwa demu wake kamkuta demu analia macho yamevimba.. jamaa ndio kuanza kumbembeleza pale akamuuliza kulikoni? Demu kampa jamaa bonge la stori ya kuhuzunisha mpaka jamaa nae akaanza kulia..! Wamelia pale weee... Siku ya siku jamaa anakuja kugundua kumbe demu alikua analia kupigwa chini na mshkaji mwingine ambae nae ni mwanafunzi hapo hapo! Aisee jamaa yangu alikua mbogo balaa na ukizingatia alikua anajidai mgumu flani.. sisi saa hiyo hatuna mbavu πŸ˜†πŸ˜†
 
Hahahahah hizi zipo mzee, unaumia kwa maumivu ya demu mwengine kukulamba kibuti! Nahisi ishawahi ntokea hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Ila bana Extro tuseme tu ukweli.. sisi wanaume nadhani tumelaaniwa linapokuja swala la michepuko. Hata uwe na mwanamke mzuri kiasi gani, anakujali, anakupenda, yupo supportive lakini bado ukiona katoto kazuri nje huko unaanza kukamezea mimate! Na mbaya ni kwamba at that moment unapokutana na dem mzuri, hua unasahau kabisa kama una mke.... utakuja kukumbuka baadae huko mmeshamaliza mambo yenu ndio unaanza kujuta ila huachi!
 
Ni kweli mkuu ila mie huwa naishia kuwatamani tu sijui kwanini, kuchukua hatua za kuanza kumtongoza mwanamke mwengine ikiwa nina mke anayenihudumia bila usumbufu huwa inakuaga ishu.

Labda demu mwenyewe anishobokee kiasi kwamba anipe greenlight tu πŸ˜‚ ila sipendagi ku waste energy kumfuatilia mwanamke.
 

Uzuri kwavile mademu wa siku hizi hua hawana haja ya kutongozwa kwahiyo najua na wewe utakua unawatafuna tu kama sisi. πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…