Kisa cha Mwitore na bi mdogo kimenikumbusha mkasa wa swahiba wangu

Hongera, wewe ni aina 'flani' ya 'ntu' unayeishi kwa 'principle'!/
 
Shem ake bana, ujue siwaelewi mnaposhindwa kutofautisha maisha ya dating/kuchepuka na maisha ya ndoa. Hivi wewe na mchepuko mna vitu vingapi vya kujadili vya kuwapa stress zaidi ya kulalana? Huku ndoani ni more of majukumu, na kule kwa mchepuko ni only ngono. Afu mchepuko anakuwa kimaslahi zaidi, lazima ajitume ili yake yatimie fasta. Mpandishe cheo mchepuko afu awe mke, uone kama zile care zitaendelea; ni majukumu kwenda mbele. Mke ana watoto wadogo, mume, nyumba na kazi, vyote vinahitaji balance yake; mchepuko yeye anawaza kukudangia tu. Imagine kulea watoto/mtoto mdogo, kuna muda mtu mzima unasinzia tu kichwa kinagonga kisa usingizi afu uje unifananishe na mtu mnayekutana kudangiana weeeeeeh

Hata nyie wanaume jiulizeni mnavyotreat wake zenu sasa hivi ni sawa na mlivyokuwa mkiwatreat wakati mnadate; jibu ni hapana. Sisi ni vile kulea kunatuweka busy sana kiasi kwamba tunaona sio kesi sana msipotufanyia mambo yale ya dating. So tueleweni afu tushirikiane baadhi ya majukumu; angalau tupate na muda wa kupumzika tupeane hizo raha basi. Sio mimi napambana na kulea peke angu, wewe ndiyo unaona chance ya kuchepuka sasa. Put yourselves in our shoes
 
Si ndiyo kujiendekeza kwenyewe, mwisho wa siku unamletea ngwengwe huyo mkeo asiye na tabu na wewe
 
Kwenye suala la kuoa wake wengi ndiyo kila mtu anajifanya anataka atimize nini ya dini sijui; nguzo nyingine aaaaah. Kama wanaume wa Kikristo wanavyomfahamu vizuri Mfalme Suleiman
 
Mume anarudi nyumbani kavurugwa unajua ni mambo ya kazi, unahangaika kumfariji kumbe kavurugwa na mchepuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] noma sana
 
Kuna wanaume wanachepuka hata wake zao wawe full package !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…