Ni kweli mkuu ila mie huwa naishia kuwatamani tu sijui kwanini, kuchukua hatua za kuanza kumtongoza mwanamke mwengine ikiwa nina mke anayenihudumia bila usumbufu huwa inakuaga ishu.
Labda demu mwenyewe anishobokee kiasi kwamba anipe greenlight tu [emoji23] ila sipendagi ku waste energy kumfuatilia mwanamke.