bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,019
Umenikumbusha kuoleana Jiwe na Msigwa kulipiana faini katika kesi ya mauaji ya Akwilina duu dunia simama kuna jambo 28/10/2020Alafu kumbukeni watu wameoleana na wengine ni ndugu unaweza ukawa unatoa amri kumbe unayemtuma akaharibu
Bila ya sisi tuliomo CCM lakini hatukubaliani nayo msidhani kuwa mambo yangekua mepesi kihivyo.Hayo maneno tuu ushajulikana wewe si CCM. Kama ccm hama chama nafasi yako pale LUmumba itapatikana mtu mwengine
Aina ya wasomi wa karne ya 21.Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Ukabila?Geita watachagua ccm kwa kishido huko ndio nyumbani
God forbid, halafu wakafukuzwa kazi!?Bila polisi Ccm walipanga kuwaua watu pale Kalangalala karibu ya ofisi ya ccm. Hii sidhani kama wakuu wa jeshi la polisi. Muwashukuru sana Polisi Geita. Makufuli baba mfukuze kazi Siro atakuchafua kirahisi sana
Nimeipenda comment hiiMapolisi saaa hivi hawasililizi mtu ambaye wanajua hatashinda. Waacheni watende kazi zao kwa mujibu wa sheria na katiba na weledi wa kazi zo.
Kila la kheri polisi Nchini.
Kamanda Siro tunakuombea Mungu akujalie hekima kazi zako uzitende bila.kumwonea mtu wala kumpendelea mtu. Atakaye lete fujo mshughulikie.
Nyuzi za night kali huwa ni vigumu Sana kueleweka maana wengi wanapost baada ya kuchangamsha akili.
Polisi hawakuwa na taarifa za kiintelinjensia?Bila polisi Ccm walipanga kuwaua watu pale Kalangalala karibu ya ofisi ya ccm. Hii sidhani kama wakuu wa jeshi la polisi. Muwashukuru sana Polisi Geita. Makufuli baba mfukuze kazi Siro atakuchafua kirahisi sana
Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS,POLISI NA MAJESHI YOTE)
Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani.. INAUMA SANA.
Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia..
MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikua tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafuuuu sana kutoka CCM.
MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA.. natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na jeshi ja polisi wakasimama kati....
Inauma sana... Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.
KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
Huu uzi umetoka kitengo, huwezi kuelewamimi huu uzi sijauelewa
Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Aah wapi subirieni kichapoGeita watachagua ccm kwa kishido huko ndio nyumbani