Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

Huwa nashindwa kuwaelewa "nyie watu", kwa nin mnashabikia huu Ujinga.? inamaana nyie hamna ndugu wanaoteseka na awamu hi?
 
Tuko wengi sana.
 
Bora wewe mimi ni msukuma mwenye asili ya Geita lkn naongozwa na misingi ya Kikatoliki huyu JPM hastahili hata kuingia kanisani
 
Bila polisi Ccm walipanga kuwaua watu pale Kalangalala karibu ya ofisi ya ccm. Hii sidhani kama wakuu wa jeshi la polisi. Muwashukuru sana Polisi Geita. Makufuli baba mfukuze kazi Siro atakuchafua kirahisi sana
Huna akl, atamfukuza vipi wakati ndio hulka yake
 
"Mapolisi saaa hivi hawasikilizi mtu ambaye wanajua hatashinda".[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Polis nao wananyanyaswa sana awamu hii, ccm wanapenda muda wrote kuamrisha polis wawakamate wapinzani Vila sababu za msingi.Kule geita msukuma darasa LA saba B analazimisha polis wafanye kazi nje ya sheria, lissu ndo anapaswa kupigiwa kura ili polis watende kazi zao kwa kufuata sheria bila woga
 
Nimekuelewa Poti ; asante kwa kutupazia sauti.

Siasa isiingie kwa chombo chetu.

Tumefadhaika muno
 
Pole mumy,huyu mtumishi No 1 anatuangusha sana,ametutelekeza watumishi saa hizi anatarajia muujiza upi utendeke?Tulikaa na mabamgo yetu mei mosi akayasoma lakini hajatekeleza.

Watumishi tarehe 28/Octoba tuna jambo letu.
#NI YEYE
 
Unapokuwa muongo kuwa na kumbukumbu, fanya siasa za kweli na si kutoa uongo , siwezi kusema yote ila jitahidi ufanye siasa na si kufanya uongo JF kuwaaminisha watu uongo, nachokisema unajua ukweli wake.

I Unfeigned respect you but this is so fallacious comment ever , politicize as you can but dare not say the false,doing so is to undermine your position and status herein.

Much respect! ,
 
Hapa ni WHERE WE DARE TO TALK OPENLY hebu funguka kisa kizima
CCM walipanga kuleta vurugu kubwa na kuua mashabiki wa upinzani kwa sababu wanaona kama Magufuli amedhalilishwa nyumbani kwake. Hawakutegemea Lissu kupata mapokezi makubwa namna hii. Polisi walifanya kazi ya ziada na kuwatanya hao mashabiki wa CCM. Matokeo yake wakuu wa polisi waliohusika wamehamishwa na kupelekwa sehemu nyingine huku wakipewa lawama kubwa.

Lissu kwenye mkutano wa waandishi wa habari Nyamagana amezungumzia hili jambo. Unajua tena huyu jamaa wa sasa anavyopenda kuabudiwa na ubabe, amechanganyikiwa na kuna habari Sirro anapata lawama kubwa. Cha kujiuliza ni hiki: Je Sirro ndiye anayewabeba mashabiki wa upinzani kwenda kwenye mikutano ya Lissu?
 
Joseph musukuma ni mtu mjinga duniani na ni darasa la saba.nfiye mshauri mkuu wa mambo ya chama na serikali wa John magufuli . Na nfipo walikoipeleka nchi na chama sasa.yajayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…