Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

Unayo mimba wewe, lini ukawa CCM wewe?
Si ubadilishe ID basi ili udanganye?
 
Wewe umeajiriwa unalalamika hamna ajira mpya huko ufipa ndio maelekezo mliyopewa?
 
Kamanda Mwabulambo Mponjoli amehamishwa???? CCM Geita hata wafanye nini hawawezi kushinda hili Jimbo Kwanza kuwalaumu polisi na kuwahamisha ndio wanaharibu kabsa
 
Ni kweli kuna dawa ya macho ya mtoto wangu huwa nachukua kila mwezi, juzi nimeenda kuchukua wamekataa wamesema imetolewa Kwenye bima, keshi ni tsh elfu 40, CCM mtajuta mwaka huu!
 
Wacha uchochezi ocd alipigiwa simu na upendo peneza akatuma police wakawapiga vijana wa ccm wakati walikuwa wakifanya fuji ni vijana wa chadema waliokodiwa kutoka kahama
 
Mtu wa Mungu Lisu ataleta lugha gongqna kila mahala ambapo wanapanga kumhujumu mpk anaingia ikulu
 
Ni kweli mkuu kuna dawa anatumia Mama yangu za Kifua "MONTELUKAST na FLUTICA SONE" wameziondoa zinauzwa 45,000 kila moja dah inaumiza sana.
 
Ukiwa nyuma ya keyboard danganya upendavyo...

Kila mwana JF ni mtumishi wa serikali kitengo nyeti[emoji3][emoji3]

Viva Magu 2020 to 2030
 
Lissu amelisifu jeshi la polisi nchini...

Sasa mnapingana na boss wenu?

Viva magu 2020 to 2030
 
Twende na Lissu Rais wetu
 
Mzee anakera huyu
 
Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…