RUSHWAAAAAWewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Hivi mayala kwanini unakuwa mpotoshaji juu ya suala hili? We unafikiri humu ndani hakuna watumishi wa umma hadi upotoshe hivyo!!!Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Binafsi na kwa hiali yangu mwenyewe niliamua kumuweka kwenye maombi mzee wangu IGP ,MH SIRRO ,atavuka anapita kipindi kigumu maana najua mzee ana familia,lakini pia anahitaji kustahafu bila bugudha,na ale matunda ya jasho lake ,itoshe sema mzee wangu sirro ukiona watu wanakuchanganya ,waachie kazi wengine ,namanisha jiuzuru basi ,vinginevyo wakubali wakubali kutokuingilia na uendelee kuongoza kwa mjibu wa kanuni ,taratibu ,sheria wa chombo chenu namanisha jesh la police ,mzee binafsi naendelea kukuweka kwenye maombi na ni matumain yangu utavuka salamaUnataka kusema Magufuli anachafuliwa na Siro au Siro ndio anachafuliwa.?
Ng'ombe anenepeshwi siku ya mnada. Tena unawapandisha watumishi hasira zaidi.Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Mkuu kuna watu humu hawajui histori Geita mjini ni Jimbo ambalo halijawahi kuongozwa na upinzani tangu mfumo wa vyama vingi uanze.Geita watachagua ccm kwa kishido huko ndio nyumbani
Linganisha Nyomi aliyoioata Magufuli na Mbeliji ukipata jibu subiri tarehe 28/10/2020 Jaji wa mahakama atakavyokuwa anafanya yake pale Dodoma.Mmeshakataliwa huko mnakokuita nyumbani.
Acha basi umekuwa Mwanaccm lini?Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Hii ni rushwa sasa. Kikwete angesema "Msinipigie bakini na kura zenu"Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
hujaambiwa upeleke kitambulisho na kadi yako ya kupiga kura ili wakutilie CCM kabisa? Wenzako Zanzibar walioko kwenye mashirika ya umma/wizara wameambiwa wapeleke vitambulisho vyao ili wapigiwe kura kabisa kabla ya uchaguzi.Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Wajaribu kufanya fujo waone ..kwani kwa matendo yao na historia tayari wananchi hatuna tena imani na geshi...ole wake kinyangariko yoyote wa MATAGA atakeyeingilia msafara au mkutano wa Rais mtarajiwa wa watu...tunamshauri aage kabisa nyumbani kwamba hatorudi salama.Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS,POLISI NA MAJESHI YOTE)
Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani.. INAUMA SANA.
Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia.
MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MUSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikuwa tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafuuuu sana kutoka CCM.
MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA.. natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na Jeshi ja Polisi wakasimama kati....
Inauma sana... Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.
KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
Yaani watu wasilipwe haki zao na stahili zao kisa uchaguzi.Hii ni rushwa sasa. Kikwete angesema "Msinipigie bakini na kura zenu"
Tangu lini stahiki ikawa rushwa?.RUSHWAAAAA
Magufuli hajawahi kupendwa Geita usidanganye watuGeita watachagua CCM kwa kishido huko ndio nyumbani
"Ka-Joni, mimi ni yule yule Ka-Joni, sijabadilika", akataliwe?Mmeshakataliwa huko mnakokuita nyumbani.
Nawe una mawazo ya kipuuzi hivi , ninyi ndio mwatuletea madhiraWewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Mkuu kwa sasa viongozi wa chama wana nguvu kuliko hata DG wa Tiss na Mabeyo, kuna Halmashauri moja Katibu wa wilaya wa chama amemhamisha DSO hivi hivi kwa sababu za kipuuzi tuNasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS, POLISI NA MAJESHI YOTE)
Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani. INAUMA SANA.
Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia.
MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MUSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikuwa tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafu sana kutoka CCM.
MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA. Natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na Jeshi ja Polisi wakasimama kati.
Inauma sana. Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.
KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
KUJUA KILICHOTOKEA SOMA
Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha