Kisa cha rafiki yangu wa Mafia

Kisa cha rafiki yangu wa Mafia

Hana cha kusema..
Kwa sababu hata wazenjibari pia huwa hawapendezwi na maisha ya Tanganyika..
Itoshe kusema kuwa mazoea yana tabu

Punguza ujinga mkuu! Tafakari yote uliyokaririshwa kwa kina
 
Ungekuwa unaijua Mafia, ungempuuza...

Lakini kwavile umeamua kumwamini, sasa unaichukuliaje hiyo dini nyingine inayofundisha watoto kwamba wakikaa na Waislamu wanapata majini?!

Ina maana wewe maishani mwako hujawahi kukaa na Waislamu?

Na kama umewahi kukaa, ulishapata hayo majini?

Na kama hujapata, ina maana hiyo dini inasema uongo?

Na kama inasema uongo, ni dini ya namna gani hiyo?! Dini ya ukweli inaweza kufundisha uongo?!

Au tuseme katika maisha yako hujawahi kukaa na Mwislamu?! Inawezekana hivyo? Au ukigundua tu kwamba Mwislamu unamkimbia kwavile ulifundishwa (according to mtoa mada ambae umeamua kumwamini) ukikaa na Mwislamu utapata majini?!

Kama ndivyo, ni dini ya namna gani hiyo inayokufundisha kukaa na watu wa imani yako pekee?!
Imani za ukristo na uislamu wote wanafundisha chuki dhidi ya wenzao, ni vile tu kila dini inafundisha chuki kwa aina yake.
 
Huko mafia nasikia kama si mwislam hukai walai.Watumishi wengi wa umma huishia kuhamia maana nasikia ubaguzi ni kiwango kikubwa mno

Visiwani huko ulijaa ubaguzi mkuu,

Na hata sasa wasio waislamu bado wanabaguliwa kwa namna fulani japo si kama siku za nyuma. Watu sasa hivi wameanza kuyaelewa mambo, sasa hivi watu wameanza kuhoji kuhusu imani zao, hata kama siyo hadharani basi hata kimya kimya.

Mimi nashukuru kwa sababu miaka ijayo watu wataujua ukweli uliowazi kuhusu Mungu.

Mungu hayupo wala hakuwahi kuwepo.
 
Mungu yupo ndugu
Kabisa Mungu yupo
Kilichopo ni elimu isiyo sahihi kuhusu Mungu
Hicho ndiyo kinaharibu imani za watu



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Acha tu mkuu..nikifikiriaga majanga yanavyokabir halaf nachomoka hata sielewei imekuaje aiseeee huwez nambia Mungu hayupo.

Kuna mambo sometimes yamekua yananisongo na pesa kuitumia haileti majibu bas nakata tamaa kabisa naamua kupiga magoti nasali then nashangaa napata akil mpya ya kutatua changamoto huwa nabak kujiuliza kama sio Mungu ni nani basi????
 
Umesoma sekondari zote Tanzania, huwa mnakaa kwenye nini? Maana mimi nilikaa kwenye dawati japo wapo waliokuwa wanakaa kwenye viti

Asante kwa kumjibu mkuu, hawa ni wale wale wanaoelewa kuwa maisha aliyoishi wote waliishi hayo hayo.
Ni wale wanao amini imani yao ni bora kuliko ya wengine.
 
Acha tu mkuu..nikifikiriaga majanga yanavyokabir halaf nachomoka hata sielewei imekuaje aiseeee huwez nambia Mungu hayupo..Kuna mambo sometimes yamekua yananisongo na pesa kuitumia haileti majibu bas nakata tamaa kabisa naamua kupiga magoti nasali then nashangaa napata akil mpya ya kutatua changamoto huwa nabak kujiuliza kama sio Mungu ni nani basi????

Mimi pia huwa nakutwa na changamoto nyingi sana na wala simuombi Mungu wala sina shida naye, na bado napata akili ya kuzitatua changamoto zangu.
 
Mimi pia huwa nakutwa na changamoto nyingi sana na wala simuombi Mungu wala sina shida naye, na bado napata akili ya kuzitatua changamoto zangu.
Aisee...Uko vizur mkuu na inawezekana level ya changamoto tunazokutana nazo ni mbingu na ardhi..
 
Sawa ndugu Yohana Frank. Nitaongea na Askofu Gwajima, rafiki yangu Mwamposa! Ili tuone namna ya kuja kufungua kanisa huko Mafia na tuwakombea hao Kondoo wote walio potea.
Mafia kuna parokia ya kanisa katoliki na lina waumini wengi tu. Labda huyu yuko kisiwa kinaitwa jibondo kusini mashariki ya mafia. Hata kule kuna wakristo japo hakuna kanisa. Namshangaa ni mafia ya wapi.Mimi nilikuwa huko 2009 mpaka 2010 au anasimulia kijijini kwake maana hata huku bara kuna maeneo hakuna mwislamu kabisa au mkristo au dini nyingine kabisa zaidi ya dini moja tu ya kikrsto au kiislamu.
 
Ungekuwa unaijua Mafia, ungempuuza...

Lakini kwavile umeamua kumwamini, sasa unaichukuliaje hiyo dini nyingine inayofundisha watoto kwamba wakikaa na Waislamu wanapata majini?!

Ina maana wewe maishani mwako hujawahi kukaa na Waislamu?

Na kama umewahi kukaa, ulishapata hayo majini?

Na kama hujapata, ina maana hiyo dini inasema uongo?

Na kama inasema uongo, ni dini ya namna gani hiyo?! Dini ya ukweli inaweza kufundisha uongo?!

Au tuseme katika maisha yako hujawahi kukaa na Mwislamu?! Inawezekana hivyo? Au ukigundua tu kwamba Mwislamu unamkimbia kwavile ulifundishwa (according to mtoa mada ambae umeamua kumwamini) ukikaa na Mwislamu utapata majini?!

Kama ndivyo, ni dini ya namna gani hiyo inayokufundisha kukaa na watu wa imani yako pekee?!
Mkuu kubali ukatae ni kwasababu tu kuna sheria za nchi la sivyo ungeshuhudia mambo ya ajabu sana. Angalia mfano jihadists mafundisho yao ambayo wanafundisha vijana.

Reference ya karibu kabisa angalia lile tukio la West Gate Nairobi. Wale jamaa walikuwa wakikukuta wanakuambia recite shahadah (kwamba unamkiri Allah na unamtambua Mohamed kuwa ni mtume wa Allah) na kama hujui ulikuwa unakula risasi.

Sasa imagine kungekuwa hakuna hizo sheria za nchi zinazozuia mauaji unadhani watu ambao hawaamini Islam wangepona?
 
Mleta mada ulitakiwa usimulie kile ulichoshuhudia na kuwa na uhakika nacho, ambacho ni chuki uliyojazwa na wazazi wako kuwa ukiwa karibu na
Muislam unapata majini!
 
Visiwani huko ulijaa ubaguzi mkuu,

Na hata sasa wasio waislamu bado wanabaguliwa kwa namna fulani japo si kama siku za nyuma. Watu sasa hivi wameanza kuyaelewa mambo, sasa hivi watu wameanza kuhoji kuhusu imani zao, hata kama siyo hadharani basi hata kimya kimya.

Mimi nashukuru kwa sababu miaka ijayo watu wataujua ukweli uliowazi kuhusu Mungu.

Mungu hayupo wala hakuwahi kuwepo.
Mungu hayupo wala hakuwahi kuwepo.

Huu ujinga usituletee hapa.
 
Kwanza ni kweli kabisa asie kua muislam ni kafiri.
Lakin uislam umekataza kumfanyia ubaya kafiri asie udhuru uislam, na umehusia kuwafanyia wema majirani zako, na katika watu wawili ambao wataipata adhabu ya Mungu ni mwenye kuuvunja undugu na jirani muovu

Na jirani bila kujali ni muislam au siyo muislam ana haki zake mbele ya muislam, Muislam yeyote haruhusiwi kumfanyia uadui jirani yake bila kujali Iman.

Hivyo ukimfanyia ubaya mtu asie kua musilam hali ya kua yeye hajakufanyia ubaya basi utahesabiwa umetenda dhambi.
ila asie Amini Mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa, na akaamkaamini ktika miungu watatu au vinginevyo huyo atahesabika kama KAFIRI na tutamuombea ili siku moja atoke katika huo Ukafiri.
 
Mkuu kubali ukatae ni kwasababu tu kuna sheria za nchi la sivyo ungeshuhudia mambo ya ajabu sana. Angalia mfano jihadists mafundisho yao ambayo wanafundisha vijana.

Reference ya karibu kabisa angalia lile tukio la West Gate Nairobi. Wale jamaa walikuwa wakikukuta wanakuambia recite shahadah (kwamba unamkiri Allah na unamtambua Mohamed kuwa ni mtume wa Allah) na kama hujui ulikuwa unakula risasi.

Sasa imagine kungekuwa hakuna hizo sheria za nchi zinazozuia mauaji unadhani watu ambao hawaamini Islam wangepona?
Unaona unapofeli hapo?! Kwahiyo Al Shabaab kusema waliyosema kwako ndo reference ya kufanya conclusion?!

Hebu twende taratibu! Kwanza kabisa neno Jihad ambako umewatoa hao uliowaita Jihadists, ni neno ambalo limekuwa corrupted sana kiasi kwamba wengi mnaamini Jihad is nothing but war! Lakini hata tukichukua hiyo tafsiri yenu mnayoipenda sana, hebu tuangalie aya zinazotumiwa sana na hao mnaowaita Jihadists!!

QURAN 2:190 inasema:-
Na piganeni katika njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanaowapigeni, wala msiruke mipaka. Kwa yakini Mwenyezi Mungu hawapendi warukao mipaka.
Na 191 Inasema:-
Na wauweni po pote mwakutapo, na kuwatoa po pote walipokutoweni; kwani mateso ni mabaya zaidi kuliko kuua. Wala msipigane nao karibu na Msikiti Mtakatifu mpaka wawapigeni ndani yake. Na wakiwapigeni basi nanyi pia wapigeni: kama hivyo ndiyo malipo ya makafiri.
Na 192 inasema:-
Lakini kama wakiacha, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu, Mrehemevu.
Na mwisho inasema:-
Na wapigeni mpaka pasiwe mateso, na dini iwe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu tu; na kama wakiacha, basi usiweko uadui ila kwa wadhalimu.

Kwanza kabisa, kuzielewa hizo aya ni lazima uwe umesoma au uwe na mwanga wa theology tofauti na wengi wenu mnavyoingia tu Google na kuokoteza aya halafu eti ndo mnajiona mnaijua Quran...

...Yaani Quran ile ile ambayo watu wanatumia miaka na miaka kuisoma, watu mnaielewa ndani ya dakika 1... you guys are geniuses!

Lakini pamoja na umuhimu wa teolojia ili uweze kuelewa msingi wa aya za Quran na hata zile za Bible, lakini hebu zisome kwa makini hizo sehemu zilizo-highlight!

Piganeni na wale WANAOKUPIGENI, na wala MSIVUKE MIPAKA!

Hivi hapo unapata picha gani? Ni kwamba Waislamu wameambiwa Wabebe silaha wakaue watu wasio wa imani yao au wameambiwa WAKIWAANZA, FIGHT BACK?!

Hivi kwenye hayo mataifa ya Kikristo, WAKIANZA KUPIGWA, ina maana hawapigani? Kama hawa-fight back, unaweza ku-declare hapa kwamba Crusade ilikuwa UNHOLY War?


Na hapa wala sitaki kuwa mnafiki... Ukiacha wale Waarabu wala neema kule Gulf Countries, Waislam duniani kote akili zetu tunazijua wenyewe!! Huwa hawataki ujinga!!

Hata ukikaa chini ukapiag mahesabu tawala zilizowahi kufurumishwa madarakani just kwa watu kuingia barabarani tu... utakuta nchi zenye Waislamu wengi ndo zinaongoza!! Hata kule West Africa ambako ukizingua tu watu wanakupandia na mashine huko huko Ikulu, nyingi ni zile zenye waislamu wengi!

Hata hawa ma-CCM yanayotusumbua ni kwa sababu yanajua kuna akina Chaliifrancisco wengi ambao Mzungu ili kuhakikisha anakula neema za Afrika bila wenge, akawaambia Bwana Kasema "Mtu akikutandika kofi mkono wa kushoto, mgeuzie na la kulia..." (Don't mind, hii ni furahisha genge tu)

But look CCM Zanzibar wanavyoikumbatia bara... wale wanajua kabisa CCM Bara wakisema "sasa kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake katika kutafuta utawala", huo utakuwa ndio mwisho wa CCM ZNZ!

Mtasema sana... hamjasoma, vibarakashia, sijui kunywa kahawa vibarazani, lakini UJINGA KWETU, NOI!

Tuache hayo "mazungumzo baada ya habari"

Sasa ni kwanini nilisema kuzielewa hizo aya ni lazima uwe na mwanga wa teolojia!

Unlike Moses and Jesus, Muhamad aliitangaza imani yake kwa taabu kweli kweli! Yeye na wafuasi wake ilikuwa mara kwa mara wanashambuliwa na hata kuuawa! Wakati mwingine mateso waliyokuwa wanayapata yalikuwa yanatoka kwa watu wa ukoo wake mwenyewe!

Mambo yalipozidi kuwa magumu, ikabidi Muhammad na Wafuasi wake watoroke Makkha usiku usiku na kukimbilia Madina!! Lakini wakati wote huo, ilikuwa wakishambuliwa, jamaa hawajibu mapigo na wakabaki kumlilia Mwenyezi Mungu awanusuru na madhira waliyokuwa wanakutana nayo!

Kutokana na hayo, ndipo zikashuka hizo aya kuwaambia "Acheni uf'ala nyie , wakiwapiga, fight back! Wakiwaua, nanyi ueni! Kama waliwatoa sehemu zenu, fight hard kukomboa hizo sehemu"

Sasa je, hao Magaidi ambao mnapenda sana kuwatumia kama reference, ndivyo wanavyofanya?! Kule Msumbiji walikoenda kuua watu, unaamini kabisa actions zao zinaendana na hizo aya?! Wale wauaji wanaojiita Boko Haram, hivi kabla hawajaanza ule unyama wao ulishawahi kusikia Waislamu Nigeria wamepigwa na Wakristo hatimae Boko Haram wakapata uhalali wa ku-fight back

Na kabla hujaanza kulalamika kuhusu neno kafiri lililotumika hapo, nikujuze tu kwamba Kafiri sio TUSI na wala sio NENO LA KASHFA kama ambavyo mnadhanii! KAFIRI NI MTU ASIYEAMINI UNACHOKIAMINI! Hata Mwislamu ni KAFIRI mbele ya jicho la Mkristo! Hata kwenye Bible hilo neno limetumika sana!!!

Lakini hata ukija kwenye kamusi,
Infidel.png

Hiyo ni kamusi ya Kizungu ambayo kuna 90% imeandikwa na Christians! Wao wanakuambia:-

Kwa Mkristo: Kafiri ni yule asiyeamini, especially MUSLIM, wakati kwa Waislam, Kafiri asiyeamini katika Uislamu bila kujali kama ni Mkristo, Pagan, Myahudi or anyone!!

Merriam Dictionary nao:-
kAFIR.png


Hilo nimeamua kuweka wazi mapema kwa sababu wangekuja wengine hapa wakaanza kutoa mapovu kwa sababu tu aya ya 191 imetaja Makafiri! Tena nadhani ukifahamu maana ya Kafiri basi Mkristo ataona fahari kuitwa Kafiri na Mwislamu! Kwanini asione fahari kuambiwa anaamini Yesu alikufa na kufufuka? Kwanini asione fahari kuaambiwa haamani Quran?!
 
Dingi ako mkaksi sana ..so aliamua kukuchongea dawati ukakalie shule 😂😂😂
Shule niliyosoma Ina madawati mkuu (dawati la mtu mmoja sio yale ya watu wa 3) pia Ina viti na meza ila mimi mwanzo mwisho nimekalia dawati
 
Back
Top Bottom