aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
- Thread starter
- #81
Chige huu uzi wangu una vitu vidogo ambavyo unashindwa kuvielewa, na kwa maana hiyo huna uwezo wa kuuelewa uzi wangu huu.
Uko vizuri sehemu nyingine lakini hapa kwenye uzi wangu umekaza shingo yako.
Kwanza hujui kuwa kwenye uzi wangu nimeandika maisha ya rafiki yangu na siyo maisha yangu, hilo wewe hulijui.
Unajua nimeandika historia ya maisha yangu, na unapokuja kwenye komenti unakuta nimeandika tofauti unachanganyikiwa.
Kama jambo dogo hivyo umeshindwa kulielewa, basi bora ukae kimya.
Mwanzo umekomaa kusema eti nimefuta post, nimekuthibitishia kuwa sijaifuta, ukabadairi gia eti ilikuwa post namba 2, kweli una uhakika?
Nina uwezo wa kuhamisha post kutoka 2 mpaka 23?
Post namba 2 mbona bado ipo na sijaiedit chochote?
Kadhalika 23 uliyodai nimeifuta bado ipo pia.
Wewe mkuu kubali una mahaba na uislamu, maana kazi yako imebaki kurukaruka hujui unataka nini kwenye uzi huu.