mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,345
- 56,148
Siwezi kuandika hapa walichokuwa wakigombea ila itoshe kusema huyo bwanaalikuwani rafiki yake watangu utoto,diwani wamwananyamala enzi hizo,Bwana CBN,walukuwa maeneo ya Kinondoni Vijana Social Hall.
Ghafla zilipigwa ngumi hatari.
Kipindihicho Tyson yupo juu kimafanikio.
Wasira alimtandika ngumi moja Bwana CBN na kudondoka chini.
Diwani huyu alifariki enzi za Mkapa na kuacha kampuni kubwaya ibsurance na ghorofa pale mwananyamala ambalo kila nikiliona nakumbuka kisa hiki.