Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Rafiki yangu moja Jackson Mandago, mwanasiasa na kiongozi anae hudumu kama seneta wa County ya Uasin GIshu kwasasa, ambae pia kabla ya hapo alihuduma kama Gavana wa county hiyo hiyo ya Uasin Gishu hapo Kenya,Mtaalam wa siasa kama ndiye wewe basi siasa imevamiwa. Mabingwa wa siasa hawana lugha ya matusi kama wewe unayeonekana umekulia vichochoroni. Lugha yako na kimo chako na ushamba wa kuukana ukoo wako vinakuumbua. Siasa isikuongezee ujinga mkuu. Bakiza upendo na utu kama Mtanzania au wewe mkimbizi.
aliwahi kusema na kushauri jambo muhimu sana katika siasa, alisema hivi nanukuu,
"Niliwaambia hii siasa sio ya kuweka kwa roho, mambo ya siasa ni kama upepo, inaweza panda, inaweza shuka na inaweza simama"
siasa siasa iishie kwa lungs, usiweke kwa roho.
mwisho wa kunukuu.
Sasa gentleman,
ukija na kisirani kwenye siasa si kila utakachokua unaambiwa utaona ni matusi tu kwako na kwahivyo utateseka sana hasa ukikutana na mim ambae sibabaiki wala sisiti kueleza ukweli wa mambo.
siwezi kuacha vibaka na matapeli wa kisiasa nchini wakiwatumia vibaya kwasababu tu ya shida na ugumu wa maisha ambao saa zingine unatokana na uvivu na mtindo wa kuchagua kazi.
ni muhimu kukaa kimya ikiwa umefikia ukomo wako wa mwisho wa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine na itapendeza zaidi gentleman

