Kisa cha Steven Wassira kuitwa 'Tyson' aliwahi kuzipiga kavukavu na rafiki yake Kipenzi hadharani wakigombea...

Unawaza ugomvi hata mahala pasipohusu. Mwandishi apigwe kisa kauliza swali wapi uliwahi kusikia. Sina hakika na elimu au uelewa wako mkuu.
Gentleman,
gnz hauwezi kuelewa vyema Tyson ilitokea wap,

na kwahivyo inafaa urelax na kucalm dow,

hivi majuzi kuna kibaka moja wa kisasa,
aliulizwa swali gumu sana na muhariri mpaka ikawa kero kwa tapeli huyo wa kisiasa nchini, kwakua ni mlemavu, hakuwa na uwezo wa kurusha ngumi,

but kwa hasira ya kiwango cha juu sana, na kwasababu ya ugumu wa swali lenyewe, aliishia kumdhuhaki muuliza swali eti lile swali ni Nonsense, kumbe limemshinda kujibu 🤣
 
Sawa bingwa wa kejeli na dhihaka. Ulemavu hakuzaliwa nao. Ila mlimpiga risasi 2017 kisha mnamtukana. Mimi ni CCM, ila sipendi ukatili na ushetani kama vile nitaishi milele. Acha hizo.
 
hakuna haja ya kutafuta huruma kwenye ukweli gentleman,
na usidhani ikiwa nitababaika kusema ukweli dhidi ya mwana CCM, Askofu au nabii,

maswali magumu huleta kigugumizi na humfanya muulizwa swali kuchukua hatua ngumu zaidi kwa hasira kwa maneno lakini pia kwa vitendo 🐒
 
hakuna haja ya kutafuta huruma kwenye ukweli gentleman,
na usidhani ikiwa nitababaika kusema ukweli,

maswali magumu huleta kigugumizi na humfanya muulizwa swali kuchukua hatua ngumu zaidi kwa hasira kwa maneno lakini pia kwa vitendo 🐒
Usijifanye unajua. Unaacha hoja ya msingi unaleta kashfa. Unayemsema na kumkashifu alipona kifo, kwa risasi. Huruma ndiyo kitu gani. Mbona kama dishi lako limeyumba. Wewe na uigizaji wako unaweza kujibu swali gani mkuu zaidi ya kashfa na matusi.
 
mimi sijifanyi gentleman, but najua each and everything na ndio maana naeleza haya bila kubabaika,

ndio maana nikasema yupo kibaka na tapeli wa kisiasa nchini hivi majuzi aliulizwa swali gumu sana na muhariri, likamshinda na kuliita swali hilo na muuliza swali wake kua ni nonsense,

bilashaka yoyote asingekua na ulemavu ile nonsense ingeambatana na ngumi kali mno dhidi ya muuliza swali na hivyo tungepata Tyson wa pili katika siasa 🐒
 
Gentleman,
gnz hauwezi kuelewa vyema Tyson ilitokea wap,

na kwahivyo inafaa urelax na kucalm dow,

hivi majuzi kuna kibaka moja wa kisasa,
aliulizwa swali gumu sana na muhariri mpaka ikawa kero kwa tapeli huyo wa kisiasa nchini, kwakua ni mlemavu, hakuwa na uwezo wa kurusha ngumi,

but kwa hasira ya kiwango cha juu sana, na kwasababu ya ugumu wa swali lenyewe, aliishia kumdhuhaki muuliza swali eti lile swali ni Nonsense, kumbe limemshinda kujibu 🤣
Lile swali lilikuwa ni nonsense, acha porojo. Nadhani una maslahi na alieambiwa, kama sio wewe mwenyewe. In fact, tukiri wazi, kwamba waandishi wa habari Tanzania wengi huwa wanauliza maswali ya kitoto sana. Mkapa alikua anachukia sana kuulizwa maswali ya kitoto.
 
mimi sijifanyi gentleman, but najua each and everything na ndio maana naeleza haya bila kubabaika,

ndio maana nikasema yupo kibaka na tapeli wa kisiasa nchini hivi majuzi aliulizwa swali gumu sana na muhariri, likamshinda na kuliita swali hilo na muuliza swali wake kua ni nonsense,

bilashaka yoyote asingekua na ulemavu ile nonsense ingeambatana na ngumi kali mno dhidi ya muuliza swali na hivyo tungepata Tyson wa pili katika siasa 🐒
Nakuhurumia sana ndugu mchekeshaji na mwigizaji wa majina ya viongozi. Unayemwita kibaka na tapeli humfikii hata robo kwa elimu, siasa, akili hata umri. Utamzidi kwa kujipendekeza na kulamba viatu vya watawala tu.
 
jihurumie tu mwenyewe na pengine wanaokutegemea, ingawa ni muhimu sana sote kujitegemea kifikra, kiuchumi, kijamii na kisiasa, ili tusibanaishwe na kutafuta huruma tunapoambiwa ukweli,

hata hivyo,
tasnia ya uchekeshaji na uigizaji kwa sasa imekua sana na kwakweli imebua vipaji na kuwafanya wahusika mabilionea humu nchini, na kuchangia katika pato la taifa na uchumi kwa ujumla.
Kubeza tasnia hizo hakuwezi kua na nguvu hata kidogo.

Mwisho lakini si kwa umuhimu,
JF sio sehemu ya kushindanisha mihemko, makasiriko, ghadhabu, utapeli au ukibaka wa kisiasa.

By the way,
huo muda unautoa wapi sasa kushindanishana na ombaomba kuchangiwa pesa za pocket money?
Hii ni sehemu ya mijadala huru ya kisiasa kwa lengo la kuelimisha na kuongeza uelewa na ufahamu dhidi ya mambo mballimbali ya kisiasa 🐒
 
Lile swali lilikuwa ni nonsense, acha porojo. Nadhani una maslahi na alieambiwa, kama sio wewe mwenyewe. In fact, tukiri wazi, kwamba waandishi wa habari Tanzania wengi huwa wanauliza maswali ya kitoto sana. Mkapa alikua anachukia sana kuulizwa maswali ya kitoto.
Gentleman,
ndio maana nasema angekua timamu physically ile nonsense ingeambatana na ngumi kali zaidi ya ya Wasira 🤣

unaulizwa,
sasa wewe kiongozi unasema watu wazuie uchaguzi usifanyike sawa,

wasipojitikeza je utawajibika kwa kuachia ngazi au utachukua hatua gani?

ati ahh that's nonsense 🤣
 
Back
Top Bottom