Gentleman,
jihurumie tu mwenyewe na pengine wanaokutegemea, ingawa ni muhimu sana sote kujitegemea kifikra, kiuchumi, kijamii na kisiasa, ili tusibanaishwe na kutafuta huruma tunapoambiwa ukweli,
hata hivyo,
tasnia ya uchekeshaji na uigizaji kwa sasa imekua sana na kwakweli imebua vipaji na kuwafanya wahusika mabilionea humu nchini, na kuchangia katika pato la taifa na uchumi kwa ujumla.
Kubeza tasnia hizo hakuwezi kua na nguvu hata kidogo.
Mwisho lakini si kwa umuhimu,
JF sio sehemu ya kushindanisha mihemko, makasiriko, ghadhabu, utapeli au ukibaka wa kisiasa.
By the way,
huo muda unautoa wapi sasa kushindanishana na ombaomba kuchangiwa pesa za pocket money?
Hii ni sehemu ya mijadala huru ya kisiasa kwa lengo la kuelimisha na kuongeza uelewa na ufahamu dhidi ya mambo mballimbali ya kisiasa 🐒