Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ukweli ni kwamba hatuwezi fikia hatua ya pili kabla ya hatua ya kwanza.
For you to agree to send me your picture you have to be convinced with what you read from what I write, be it on a certain thread or PM.
Inatokea sasa naenda deep sana kukuaminisha kwamba I am that guy ili unitumie hiyo picha. Unaponitumia hiyo picha I come to realize you are not my standards and I am too good for you, remember your beauty matters.
Ndio hapo sasa inabidi nitembee kimya kimya na inafika kipindi ndio vijana wanauliza, hivi hakuna wari humu wote ni vibibi tu???
Am just saying..........................
Basi kama hamtaki urafiki na sisi vikongwe, swali la kwanza liwe ni kuhusu umri ili tusifikie hata huko kwenye picha mjue sio wa standards zenu mapemaaa[emoji20][emoji20]