chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
pole Sana mama la mama.naona umekutachi sana.ss wanaume tuna balaaa sana.na siku hz sio Kama zamani unachaguliwa mke na familia,Sasa siku hz tuna zoa zoa tu.balaa ndo hizIla na nyie wanaumee muwe mnajituliza akili zenu pindi inapofika muda wa kuchaguaa mke wa kuoaaa shida mnamihemkoooo mwishoe mnabak na majuto ya milele
Mungu anipe uzimaa mm mpk vijana wangu waoee na Mungu awasaidie wapate mke wa kufanana na mimi mama yao,,,nisomeshe vijana wangu atokee mwanamke mmoja abebe mshahara wake wote ntamkataa matiti yakeee,pumbavuuu
[emoji23][emoji23][emoji23].mkuu mkeo kabila gani.naona umeweka tahadhali mapema.Nishawaambia madogo na ndugu wa kiume niwaaminio, siku nikioa halafu wakaona nimeanza kuwa 'ndaza' fasta wawahi kwa mtaalamu 'anijanjalue' nikipona tu my waifu wangu naenda kumtosa mto Kagera wale mamba wafaidi!!!! Shubamittttt
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Hapana
[emoji817]Kitu nilichojifunza kwa yale yaliyonitokea nilikuja kugundua kwamba,.. wanaopinga uwepo wa uchawi mara nyingi huwa wanakuwa na viashiria vya uchawi au ni wachawi kabisa
Na ukioa utabuluzwa Mara mia zaidi ya mdingi wako mkuu.mark my word.usininukuu vibaya Wala sisemi usioe.Nina miaka 30.najitegemea mwaka wa 6 sasa,.mara zote mama ananishauri nioe,.lakini nikikumbuka maisha yake na baba,sina hamu ya kuoa,.its either mzee amerogwa au ndio mahaba,mzee kashikwa,hafurukuti,bado wapo pamoja
Mbena huyoHapana sijajua kabila lake ila walikutana Iringa, ko sijui kabila la huyo mwanamke ila najua kabila la rafiki yangu.
Wabena na upole wote ule kumbe kwa limbwata hawajamboMbena huyo
kwaniniNa ukioa utabuluzwa Mara mia zaidi ya mdingi wako mkuu.mark my word.usininukuu vibaya Wala sisemi usioe.
Ni ujasiri wa kipekee aisee,mi kwakweli mwanaume km Ni mzinzi akakitembeze tu mpk kiishilie, km Ni bondia Ni heri nimkimbie kuliko kumlisha hayo mavitu, wengi huishia kuwa Kama wajinga, na utashangaa wanawalisha dawa ili wapendwe wao tu lakini hugeuka na kuwa mazezeta then wanaanza kuwatukana na kuwatuma km mbwa vileDah mimi mwenyewe nikipata mwanangu apate gume gume nitatembeza kichapo heavy, kisa Cha kumlisha mauchafu mwenzako nini na malibwata mengi hugeuka sumu nakuua wanaume KABLA ya siku zao
Umesema mdingi wako pia bi mkubwa kamshika.mara nyingi huwa Kuna payback,Kama bi mkubwa wako amembana mbavu mdingi wako,ajue na watoto wake wa kiume ,na wao watabanwa mbavu na wakezao.hakuna mbegu ambayo utaipanda isiote.kwanini
Yeah yeah
Umemaliza mkuu.Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
🙄[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
siamini katika hilo.,naweza kushikwa zaidi yake,kua mbogo au vyovyote vile.. itategemea nani nimemchagua kuishi nae,..Umesema mdingi wako pia bi mkubwa kamshika.mara nyingi huwa Kuna payback,Kama bi mkubwa wako amembana mbavu mdingi wako,ajue na watoto wake wa kiume ,na wao watabanwa mbavu na wakezao.hakuna mbegu ambayo utaipanda isiote.
Wanaume umalaya hawaachi, na kama hatulii siumuache ale Raha kwanini umpangie na kitendea kazi chake atumie chako tu Ili iweje, na wewe ukikitembeze tu umenyimwa,ndio maana wanaume hawadumu kisa maujinga haya ya madawa na kumfanya zezeta, imagine michepuko Ina mlisha matakataka Ili kumu win mume aache mke, na mke naye ana mlisha malibwata kumtuliza kwanini hayo mapepo yasimuue huyo mwanaume.Ni ujasiri wa kipekee aisee,mi kwakweli mwanaume km Ni mzinzi akakitembeze tu mpk kiishilie, km Ni bondia Ni heri nimkimbie kuliko kumlisha hayo mavitu, wengi huishia kuwa Kama wajinga, na utashangaa wanawalisha dawa ili wapendwe wao tu lakini hugeuka na kuwa mazezeta then wanaanza kuwatukana na kuwatuma km mbwa vile
Kiufupi kwenye haya maisha ukijifunza kuridhika na kupuuza baadhi ya vitu utaishi vizuri na kwa amani tele, Ni ujinga ushetani na upumbavu kumdhibiti mwanaume kwa kutumia ushirikinaWanaume umalaya hawaachi, na kama hatulii siumuache ale Raha kwanini umpangie na kitendea kazi chake atumie chako tu Ili iweje, na wewe ukikitembeze tu umenyimwa,ndio maana wanaume hawadumu kisa maujinga haya ya madawa na kumfanya zezeta, imagine michepuko Ina mlisha matakataka Ili kumu win mume aache mke, na mke naye ana mlisha malibwata kumtuliza kwanini hayo mapepo yasimuue huyo mwanaume.