chazachaza
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 2,829
- 3,835
pole Sana mama la mama.naona umekutachi sana.ss wanaume tuna balaaa sana.na siku hz sio Kama zamani unachaguliwa mke na familia,Sasa siku hz tuna zoa zoa tu.balaa ndo hizIla na nyie wanaumee muwe mnajituliza akili zenu pindi inapofika muda wa kuchaguaa mke wa kuoaaa shida mnamihemkoooo mwishoe mnabak na majuto ya milele
Mungu anipe uzimaa mm mpk vijana wangu waoee na Mungu awasaidie wapate mke wa kufanana na mimi mama yao,,,nisomeshe vijana wangu atokee mwanamke mmoja abebe mshahara wake wote ntamkataa matiti yakeee,pumbavuuu