Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Ila na nyie wanaumee muwe mnajituliza akili zenu pindi inapofika muda wa kuchaguaa mke wa kuoaaa shida mnamihemkoooo mwishoe mnabak na majuto ya milele

Mungu anipe uzimaa mm mpk vijana wangu waoee na Mungu awasaidie wapate mke wa kufanana na mimi mama yao,,,nisomeshe vijana wangu atokee mwanamke mmoja abebe mshahara wake wote ntamkataa matiti yakeee,pumbavuuu
pole Sana mama la mama.naona umekutachi sana.ss wanaume tuna balaaa sana.na siku hz sio Kama zamani unachaguliwa mke na familia,Sasa siku hz tuna zoa zoa tu.balaa ndo hiz
 
Nishawaambia madogo na ndugu wa kiume niwaaminio, siku nikioa halafu wakaona nimeanza kuwa 'ndaza' fasta wawahi kwa mtaalamu 'anijanjalue' nikipona tu my waifu wangu naenda kumtosa mto Kagera wale mamba wafaidi!!!! Shubamittttt
[emoji23][emoji23][emoji23].mkuu mkeo kabila gani.naona umeweka tahadhali mapema.
 
Kitu nilichojifunza kwa yale yaliyonitokea nilikuja kugundua kwamba,.. wanaopinga uwepo wa uchawi mara nyingi huwa wanakuwa na viashiria vya uchawi au ni wachawi kabisa
[emoji817]
 
Nina miaka 30.najitegemea mwaka wa 6 sasa,.mara zote mama ananishauri nioe,.lakini nikikumbuka maisha yake na baba,sina hamu ya kuoa,.its either mzee amerogwa au ndio mahaba,mzee kashikwa,hafurukuti,bado wapo pamoja
Na ukioa utabuluzwa Mara mia zaidi ya mdingi wako mkuu.mark my word.usininukuu vibaya Wala sisemi usioe.
 
Dah mimi mwenyewe nikipata mwanangu apate gume gume nitatembeza kichapo heavy, kisa Cha kumlisha mauchafu mwenzako nini na malibwata mengi hugeuka sumu nakuua wanaume KABLA ya siku zao
Ni ujasiri wa kipekee aisee,mi kwakweli mwanaume km Ni mzinzi akakitembeze tu mpk kiishilie, km Ni bondia Ni heri nimkimbie kuliko kumlisha hayo mavitu, wengi huishia kuwa Kama wajinga, na utashangaa wanawalisha dawa ili wapendwe wao tu lakini hugeuka na kuwa mazezeta then wanaanza kuwatukana na kuwatuma km mbwa vile
 
Umesema mdingi wako pia bi mkubwa kamshika.mara nyingi huwa Kuna payback,Kama bi mkubwa wako amembana mbavu mdingi wako,ajue na watoto wake wa kiume ,na wao watabanwa mbavu na wakezao.hakuna mbegu ambayo utaipanda isiote.
 
Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Umemaliza mkuu.
 
Huyo atakuwa ameoa mchawi siyo mke mwema haijalishi awe anafanya kazi au hafanyi kazi, mchawi ni mchawi tu Ila na huyo jamaa atakuwa alilogwa tangu kipindi cha uchumba haiwezekani jinsi ulivyoelezea iwe imetokea ghafla, tujitahidi wakati wa kutaka kuoa tutafute wake wema jitahidi kuchunguza familia yake na yeye mwenyewe yukoje na marafiki zake wakoje. Hata Kama ni mshika dini usimwamini bila kumchunguza.
 
Kama wazazi wa uyu mwanaume wapo au babu zake mpeleke akaonane nao... akipigwa kofi la kushtukiza akili huwa zinarudi zote anatoka usingizini.
 
Umesema mdingi wako pia bi mkubwa kamshika.mara nyingi huwa Kuna payback,Kama bi mkubwa wako amembana mbavu mdingi wako,ajue na watoto wake wa kiume ,na wao watabanwa mbavu na wakezao.hakuna mbegu ambayo utaipanda isiote.
siamini katika hilo.,naweza kushikwa zaidi yake,kua mbogo au vyovyote vile.. itategemea nani nimemchagua kuishi nae,..
 
Ni ujasiri wa kipekee aisee,mi kwakweli mwanaume km Ni mzinzi akakitembeze tu mpk kiishilie, km Ni bondia Ni heri nimkimbie kuliko kumlisha hayo mavitu, wengi huishia kuwa Kama wajinga, na utashangaa wanawalisha dawa ili wapendwe wao tu lakini hugeuka na kuwa mazezeta then wanaanza kuwatukana na kuwatuma km mbwa vile
Wanaume umalaya hawaachi, na kama hatulii siumuache ale Raha kwanini umpangie na kitendea kazi chake atumie chako tu Ili iweje, na wewe ukikitembeze tu umenyimwa,ndio maana wanaume hawadumu kisa maujinga haya ya madawa na kumfanya zezeta, imagine michepuko Ina mlisha matakataka Ili kumu win mume aache mke, na mke naye ana mlisha malibwata kumtuliza kwanini hayo mapepo yasimuue huyo mwanaume.
 
Kiufupi kwenye haya maisha ukijifunza kuridhika na kupuuza baadhi ya vitu utaishi vizuri na kwa amani tele, Ni ujinga ushetani na upumbavu kumdhibiti mwanaume kwa kutumia ushirikina
 
Back
Top Bottom