Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Story ya kupangwa hii
Kuna jamaa yangu tings ziko nyingi huku sana kumbe mhusika mwenyewe
Kuna jamaa yangu tings ziko nyingi huku sana kumbe mhusika mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo pm tupange weekend joggingShida ujanani mnavuta kwa jeuri na ubabe mwingi View attachment 1693324
Asilimia 99.9% wako hivyo, kazi inakua kwa Mwanaume kukaza kamba, ni vita ya kudumuNdugu yangu sio ndoa zote zipo hivyo
Ushikirikina tu wewe mwanamke akupangie pesa zako si na yeye akatafute,Adu
Adui wa kwanza wa MWANAUME ni mwanamke, na hii watu wengi watasema ni ushirikina,sio kweli, kwa Wengi wenye wake wanalijua hili, girl friend au mke anataka kwanza kukuchunguza na kukujua kwa kila unachofanya na unakokwenda, baada ya hapo anaanza kukupangia anachotaka yeye, na ukikataa utaitwa mkorofi, ana mahawara,mnyanyasaji, anaharibu pesa,mbishi, na kuitiwa vikao, yote hayo ni kukuogopesha ili jamii na wewe mwenyewe ujione mkosaji na aibu, Ukishakubali hapo MWANAUME utakua mtumwa. Suluhisho ni kuhakikisha anapanga mambo yake mwenye na kufukuzia goals zake za maisha, Pesa Yake aweke mwenyewe na apangie mwenyewe. akiona anaendelea na ubishi. amwache kwani Maisha yake ni bora kuliko huyo mwanamke.
It doesn't make any sense but I've heard of a wife sniffing her husbands dick every evening before he sets foot inside the house but yet again it's a crazy world we live in.I think that woman went to get his man fixed in order to dominate the householdI would hope it's not tea so we can learn from it. But fathom this, your wife tries to sniff you in the evening if you had any food over lunch. How much sense does that make?
Soma vizuri uelewe, jamaa kasema kila huyo rafiki yake anapokuwa mbali anakuwa na ujasiri, lakin akifika nyumbani uoga humuingia hapo unadhani ni hali ya kawaida,,.mimi pia nimemshuhudia mtu wa namna hiyo ukweli usiombe ikukute hiyo hali.Adu
Adui wa kwanza wa MWANAUME ni mwanamke, na hii watu wengi watasema ni ushirikina,sio kweli, kwa Wengi wenye wake wanalijua hili, girl friend au mke anataka kwanza kukuchunguza na kukujua kwa kila unachofanya na unakokwenda, baada ya hapo anaanza kukupangia anachotaka yeye, na ukikataa utaitwa mkorofi, ana mahawara,mnyanyasaji, anaharibu pesa,mbishi, na kuitiwa vikao, yote hayo ni kukuogopesha ili jamii na wewe mwenyewe ujione mkosaji na aibu, Ukishakubali hapo MWANAUME utakua mtumwa. Suluhisho ni kuhakikisha anapanga mambo yake mwenye na kufukuzia goals zake za maisha, Pesa Yake aweke mwenyewe na apangie mwenyewe. akiona anaendelea na ubishi. amwache kwani Maisha yake ni bora kuliko huyo mwanamke.
Huwa nashangaa watu wanaoundermine kuoa kabila zao.. ikitokea nikaoa basi lazima nioe kabila langu.. at least nitapunguza Risks Nyingi.Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Mada ya mambo ya kichawi ya kiswahili ww unakuja na kingereza chako..! Hizi mambo kunoga kwa kiswahili acheni mbwbwe😂😂😂It doesn't make any sense but I've heard of a wife sniffing her husbands dick every evening before he sets foot inside the house but yet again it's a crazy world we live in.I think that woman went to get his man fixed in order to dominate the household
Ngoja niongee na ndugu zake kwanza maana mimi siwezi kwenda kwa mganga wa kienyeji ila nitajitahidi kabla sijaondoka hapa kwenda sehemu yangu ya kazi lazima niwe nimempeleka kwenye maombi, hilo ndo ninalo weza pekeeCase ya Jamaa ako ni easy tu..
Mke hapo kuna uwezekano mkubwa ni mlozi yaani zaidi ya 95%.. kama unamkubali mwanao.. Tafuteni Mganga wa uhakika mpige Ramli.. lazima kuna zindiko.
Jamaa yako atatakiwa kutapishwa vitu alivolishwa.
Pia dawa ya kuoga na in rare cases kuchukua vitu vyake vilivochukuliwa kichawi kama.. Nywele za kichwani,vuzi, kucha, mate, kinyesi shahawa na pesa..
Akifanya haya lazima akili imrudi (Nywele ikichukuliwa maana yake akili imechukuliwa).
Onyo: Risk kubwa hapa ni kwamba wataachana.
Nina imani umewahi kuyapitia mkuu, yanakera mno haya mambo.Dah,naona ghafla hasira zimenipanda,ngoja nirudi nyumbani jioni nikiwa nimetualia nitachangia,maana nimeshaandika na kufuta mara tano sasa....
We mzee wa kale acha nuksi 😂😂😂😂.....Mada ya mambo ya kichawi ya kiswahili ww unakuja na kingereza chako..! Hizi mambo kunoga kwa kiswahili acheni mbwbwe😂😂😂