Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Story ya kupangwa hii

Kuna jamaa yangu tings ziko nyingi huku sana kumbe mhusika mwenyewe
 
Kumbe limbwata inazidiana uwezo, huyu jamaa kainamishwa kichwa, haiwezi kuwa kawaida hii.
 
Adui wa kwanza wa MWANAUME ni mwanamke, na hii watu wengi watasema ni ushirikina,sio kweli, kwa Wengi wenye wake wanalijua hili, girl friend au mke anataka kwanza kukuchunguza na kukujua kwa kila unachofanya na unakokwenda, baada ya hapo anaanza kukupangia anachotaka yeye, na ukikataa utaitwa mkorofi, ana mahawara,mnyanyasaji, anaharibu pesa,mbishi, na kuitiwa vikao, yote hayo ni kukuogopesha ili jamii na wewe mwenyewe ujione mkosaji na aibu, Ukishakubali hapo MWANAUME utakua mtumwa.

Suluhisho ni kuhakikisha anapanga mambo yake mwenye na kufukuzia goals zake za maisha, Pesa Yake aweke mwenyewe na apangie mwenyewe. akiona anaendelea na ubishi. amwache kwani Maisha yake ni bora kuliko huyo mwanamke.
 
Pole yake, ila namuona kama mjinga ingawa kuna ndugu yangu nae alifanywa hivyo na mke wake alipostaafu kazi mke akala na kiinua mgongo na akaachana na ndugu yangu, nakushauri unsaidie huyo boss wako atoke kwenye huo mnyororo akicheza atakufa maskini hapo hana mke
 
Adu

Adui wa kwanza wa MWANAUME ni mwanamke, na hii watu wengi watasema ni ushirikina,sio kweli, kwa Wengi wenye wake wanalijua hili, girl friend au mke anataka kwanza kukuchunguza na kukujua kwa kila unachofanya na unakokwenda, baada ya hapo anaanza kukupangia anachotaka yeye, na ukikataa utaitwa mkorofi, ana mahawara,mnyanyasaji, anaharibu pesa,mbishi, na kuitiwa vikao, yote hayo ni kukuogopesha ili jamii na wewe mwenyewe ujione mkosaji na aibu, Ukishakubali hapo MWANAUME utakua mtumwa. Suluhisho ni kuhakikisha anapanga mambo yake mwenye na kufukuzia goals zake za maisha, Pesa Yake aweke mwenyewe na apangie mwenyewe. akiona anaendelea na ubishi. amwache kwani Maisha yake ni bora kuliko huyo mwanamke.
Ushikirikina tu wewe mwanamke akupangie pesa zako si na yeye akatafute,
 
I would hope it's not tea so we can learn from it. But fathom this, your wife tries to sniff you in the evening if you had any food over lunch. How much sense does that make?
It doesn't make any sense but I've heard of a wife sniffing her husbands dick every evening before he sets foot inside the house but yet again it's a crazy world we live in.I think that woman went to get his man fixed in order to dominate the household
 
Adu

Adui wa kwanza wa MWANAUME ni mwanamke, na hii watu wengi watasema ni ushirikina,sio kweli, kwa Wengi wenye wake wanalijua hili, girl friend au mke anataka kwanza kukuchunguza na kukujua kwa kila unachofanya na unakokwenda, baada ya hapo anaanza kukupangia anachotaka yeye, na ukikataa utaitwa mkorofi, ana mahawara,mnyanyasaji, anaharibu pesa,mbishi, na kuitiwa vikao, yote hayo ni kukuogopesha ili jamii na wewe mwenyewe ujione mkosaji na aibu, Ukishakubali hapo MWANAUME utakua mtumwa. Suluhisho ni kuhakikisha anapanga mambo yake mwenye na kufukuzia goals zake za maisha, Pesa Yake aweke mwenyewe na apangie mwenyewe. akiona anaendelea na ubishi. amwache kwani Maisha yake ni bora kuliko huyo mwanamke.
Soma vizuri uelewe, jamaa kasema kila huyo rafiki yake anapokuwa mbali anakuwa na ujasiri, lakin akifika nyumbani uoga humuingia hapo unadhani ni hali ya kawaida,,.mimi pia nimemshuhudia mtu wa namna hiyo ukweli usiombe ikukute hiyo hali.
 
Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Huwa nashangaa watu wanaoundermine kuoa kabila zao.. ikitokea nikaoa basi lazima nioe kabila langu.. at least nitapunguza Risks Nyingi.
 
It doesn't make any sense but I've heard of a wife sniffing her husbands dick every evening before he sets foot inside the house but yet again it's a crazy world we live in.I think that woman went to get his man fixed in order to dominate the household
Mada ya mambo ya kichawi ya kiswahili ww unakuja na kingereza chako..! Hizi mambo kunoga kwa kiswahili acheni mbwbwe😂😂😂
 
Case ya Jamaa ako ni easy tu..

Mke hapo kuna uwezekano mkubwa ni mlozi yaani zaidi ya 95%.. kama unamkubali mwanao.. Tafuteni Mganga wa uhakika mpige Ramli.. lazima kuna zindiko.
Jamaa yako atatakiwa kutapishwa vitu alivolishwa.

Pia dawa ya kuoga na in rare cases kuchukua vitu vyake vilivochukuliwa kichawi kama.. Nywele za kichwani,vuzi, kucha, mate, kinyesi shahawa na pesa..

Akifanya haya lazima akili imrudi (Nywele ikichukuliwa maana yake akili imechukuliwa).

Onyo: Risk kubwa hapa ni kwamba wataachana.
 
Ukiona anakua mbishi kwenda Kanisan atakua amefungwa ufaham.

Cha kufanya fanya jinsi ya kupata nguo yake yyte hyo ndo inapigwa ibada na maombi ..

Vijana muwe mnajipika kwanza kabla ya kuingia kwenye ndoa ukipigwa limbwata inadunda tu
 
Case ya Jamaa ako ni easy tu..

Mke hapo kuna uwezekano mkubwa ni mlozi yaani zaidi ya 95%.. kama unamkubali mwanao.. Tafuteni Mganga wa uhakika mpige Ramli.. lazima kuna zindiko.
Jamaa yako atatakiwa kutapishwa vitu alivolishwa.

Pia dawa ya kuoga na in rare cases kuchukua vitu vyake vilivochukuliwa kichawi kama.. Nywele za kichwani,vuzi, kucha, mate, kinyesi shahawa na pesa..

Akifanya haya lazima akili imrudi (Nywele ikichukuliwa maana yake akili imechukuliwa).

Onyo: Risk kubwa hapa ni kwamba wataachana.
Ngoja niongee na ndugu zake kwanza maana mimi siwezi kwenda kwa mganga wa kienyeji ila nitajitahidi kabla sijaondoka hapa kwenda sehemu yangu ya kazi lazima niwe nimempeleka kwenye maombi, hilo ndo ninalo weza pekee
 
Mzee wangu mwenyewe kashikwa na mama wa kambo na ananyanyaswa. Ngoja nisivujusishe siri zake ila hii mambo ya Sumbawanga na Kigoma mimi nitawahi mapema kujifunga shield kabla sijaoa.

Unaendewa kwa mtaalam kisha unaambiwa umefungwa na hufanyi kitu. Aaah huu ujasiri wa kike unastahili Nobel Prize
 
Back
Top Bottom