Kama umesoma mwanzo wa text yangu utaelewa, na unataka kusema ni uchawi. hio ni kama Mtoto anayepigwa pigwa anakua mwoga , na wanawake wana hio saikolojia ya kucheza na akili za watu, ndio maana jamaa anapata hisia za kurudi kwenye uhalisia wake katokana na maumivu anayopata, kama ya kutokua na Nguo za maana na kutosha, kutokula sawa sawa, Kutembea kwa mguu mwendo mrefu, na ana gari, kukosa pesa nk. ila anasita kutokana na picha aliyojengewa mwanzoni. kama ukifanya hivyo utaitwa mkorofi,mbishi nk.